Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
■Tuache vitu vitamu sana kama soda na carbonated drinks
■Tupunguze nyama nyingi nyekundu e.g nyama ya ng'ombe na maini.
■Tupunguze beer
■Tuache sex za kavu kavu
■Tupunguze mafuta mengi katika milo e.g vyakula vya kukaanga na mafuta mengi
■Tujifunze kunywa maji. Hapa ndio kuna uvivu ila hauna namna itakubidi tu
■Tupunguze sukari nyingi.
■Tuache kukaa muda mrefu kwenye viti vigumu na vilivyonyooka e.g gharamika ununue viti maalum
■Tupunguze uzito.
■Tupunguze kunywa maziwa sana bali kunywa maziwa ambayo ni low fat.
Miaka tu 20 iliopita usingeweza kuona tabu hizi lakini sasa hivi zimekuwa chronic katika jamii, na sasa cha ajabu mostly katika vijana wadogo mno.
Najua hata wewe hapo haukosi ndugu au rafiki wa karibu ambae hakosi moja ya hizo conditions hapo juu.
Tumejitahidi kiasi kushindana na ukimwi, sasa hivi tushindanae na haya majanga mengine.
Mzungu cancer ndio inampa tabu, Waafrika tabu zilizo kuja ni hayo majanga niliyotaja hapo juu. Yana tesa sana, yana gharamisha na pia kifo cha uchungu sana.
Kama ni vigumu kufanya mazoezi jichange ununue kabaiskeli ka mazoezi weka ndani uwe unapiga mazoezi asubuhi na jioni.
TAKE CARE. Hamka sasa Kafanye full check up ya mwili mzima na full blood picture ili ujue status zako ili upambane na viatirishi vitakavyoonekana katika mwili wako