Vijana tuweni makini na tuache tamaa za kijinga

Ujinga huo sifanyi kabisa wanaweza kuwa wamefanya tamaaa mbaya sana hata ufanyaje uwe tajiri ipo siku utaporomoka kwa kasi!!!
 
Hakuna shortcut kwenye maisha mkuu ni lazima upitie vipengele. Ila vijana wa sasa wanataka baada ya mwaka wawe kama bakresaa
 
Mwambie huyo labda ajui.
Kama wanbisha nimekaa na jamaa wawili mmoja anajiita kikore mwingine mangi walikuwa na mabars town mkoa wa Tanga .

Kati ya hao jamaa kikore mwanae wa kwanza kamfanya chizi yaani zombie kabisa kwa ajili ya utajiri halafu eti analipeleka shule za gharama toto chizi kabisa linatoa udenda na mzuri kisuri .

Mwingine nae mwanae kamfanya ivyo ivyo zombie ukienda dukani unalikuta linacheka tu .
 
Me : dakika mbili baada ya kuniambia siri zako
JamiiForums435579065.jpeg
 
Kama wanbisha nimekaa na jamaa wawili mmoja anajiita kikore mwingine mangi walikuwa na mabars town mkoa wa Tanga .

Kati ya hao jamaa kikore mwanae wa kwanza kamfanya chizi yaani zombie kabisa kwa ajili ya utajiri halafu eti analipeleka shule za gharama toto chizi kabisa linatoa udenda na mzuri kisuri .

Mwingine nae mwanae kamfanya ivyo ivyo zombie ukienda dukani unalikuta linacheka tu .
Nenda old Moshi mkuu ukajionee mazezeta kibao karibia kila nyumba. Kaskazini sio poa aisee
 
Sasa baada ya mama wa jamaa kuwafuma ikawaje utajiri ukaanza kuporomoka?? Sharti ilikuwa ni kuingiliana na walilifanya, au ilitakiwa wasionwe na mtu mwingine wanapoingiliana? Ikingili
 
[emoji1787][emoji1787] Siwezi huo upuuzi hata siku moja, huyo jamaa alikua room mate wangu so siri nyingi za kwao na kwetu tulikua tunajadiliana sana baada ya kumaliza prep.
Maziwa yamepelea sana na sukari umebania wakati ulikuwa unajua watu watakunywa bila kitafunio.
 
Sasa baada ya mama wa jamaa kuwafuma ikawaje utajiri ukaanza kuporomoka?? Sharti ilikuwa ni kuingiliana na walilifanya, au ilitakiwa wasionwe na mtu mwingine wanapoingiliana? Ikingili
Yani jamaa anasema kigangula aliwaambia wakiwa wanafanya wasionekane na mtu yoyote yule. Ikiwa watakosea kuonekana basi mizimu itakua imechukia Sanaa.
 
Back
Top Bottom