Vijana tuweni makini na tuache tamaa za kijinga

Hapa naona kama maji uamezidi unga [emoji2285]
 
Habari zenu waungwana?

Siku mbili & Tatu hapo nyuma nilienda soko la ferry kununua mboga kwaajili ya familia yangu, katika pita pita zangu nilikutana na mshikaji wangu flani hivi tulipiga nae chuo(Arusha).
Ama kweli dunia ina mambo na ukitaka kujua mengi tembea, mambo au mkasa aliokua nao jamaa uliniacha mdomo wazi na maumivu makubwa sanaa. Ilikuaje fatana na mimi:

Jamaa nilimkuta kwenye kamgahawa anauza hapo hapo maeneo ya ferry kwa maelezo yake aliniambia ule mgahawa ni wa baba yake ila kwa wakati huo wameshuka sana kiuchumi maana walikua na migahawa kama 4 hivi maeneo mbalimbali ya jijini. Ilibidi nikae nae chini anipe mkasa wote imekuaje mpaka leo hii wapo na kimgahawa cha ajabu tu.

Mwaka 2020 maisha yalikua magumu sana hasa upande wa biashara yao ya mgahawa ndipo baba yake alikutana na rafiki yake mmoja mwenyeji wa mtwara huko, kwa maelezo ya jamaa anasema wakati wanaenda nyumbani jioni baba yake alimwambia mwanangu inabidi tufanye kitu kwenye biashara yetu maana hali inazidi kuzorota.

Basi jamaa anasema alijua labda ni mambo ya mikopo akamuitikia tu baba yake "Sawa baba hata mimi nilikua na mawazo kama yako" Naomba nifupishe huu mkasa maana kidogo ni mrefu so nisiwachoshe wasomaji ili tupate funzo kidogo.

Jamaa aliniambia siku moja walienda kwa mtaalamu(Kigangulo) au Mganga huko maeneo ya Rufiji ili wanusuru biashara yao na ukata, walipofika mganga aliwaambia tayari nilishawaona mkija na nina fahamu nini mnahitaji ila mtaweza masharti maana mimi uganga wangu hauruhusu kuuwa(kafara za damu). Jamaa anasema yeye alikua tu kama zoba baba yake ndio alikua mratibu wa kila kitu, mzee wake alikubali kua ataweza yote hayo, basi mganga akawaambia mali mtapata na biashara zitaenda ila kwa sharti moja ya kuingiliana kimwili wewe na mwanao wa kiume kwa mwezi mara 1 (kulawitiana).

Jamaa anaendelea kwa huzuni akisema basi baba alikubali na mganga akaamuru tuingie ndani na tuanze hilo zoezi palepale kwenye kilinge chake, bila aibu jamaa anasema alimuingilia baba yake na baada ya bao 1 na yeye akaingiliwa na baba yake[emoji24].

Maisha yao yalinyooka sana na kua na biashara mbali mbali ikiwemo migahawa mikubwa tu mjini ila kuna siku mama yake na jamaa (Mke wa baba yake) aliwafumania chumbani wakifanya ufirauni huo ndipo mwanzo wa kuporomoka kiuchumi, na waliporudi kwa mtaalamu aliwakatalia kabisa kuhusu msamaha wa kurudi kama mwanzo huku akiwatishia waondoke kabla mizimu haijachukia. [emoji24][emoji24]

Kiukweli huu mkasa umeniumiza sanaa cha kibaya zaidi jamaa ananiambia hata nguvu za kiume kwake ni tatizo maana hayo mambo walifanya karibia mwaka na nusu na ni kila mwezi lazima waingiliane.

Story ni ndefu sana ila tushie hapa kwa leo. [emoji120][emoji120]

[emoji119][emoji119]
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Kama aliishiwa nguvu za kiume alikua anaendelezaje kumuingilia mwenzake...
 
Ww muongo tu hii story umeisikia kijiwen atamim hii story nilisha isikia
 
Nguvu za kiume kwake ni tatizo kwa maana kwamba hasimamishi? Na kama ndivyo aliwezaje kufanya kitendo hiyo kwa musa wote huo? Hii siyo chai?
 
JamiiForums1478566496.jpg
 
Storee za vijiweni unazileta kwa great thinkers kama mimi[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Haiwezekani kwasababu ni ngumu sana uume usimame umgonge baba yako mzazi, uongo wa wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom