Vijana tuweni makini na tuache tamaa za kijinga

Mkuu unadetails nyingi sana hata mimi naanza kuamini wewe ni mmoja wa wahusika wa huu mkasa.
[emoji2][emoji2][emoji2] Nilimchimba sana jamaa maana nina plan ya kumsaidia kimaisha so ilibidi aniweke wazi baadhi ya mambo mengine ambayo sijayaweka hapa jukwaani.
 
Nenda old Moshi mkuu ukajionee mazezeta kibao karibia kila nyumba. Kaskazini sio poa aisee
Watoto wao weupe wazuri ila wamewafanya mazombie roho inauma sana na wanawavalisha nguo nzuri sana ila we acha tu!!!
 
Mkuu unadetails nyingi sana hata mimi naanza kuamini wewe ni mmoja wa wahusika wa huu mkasa.
Cha kwanza kabisa nimempeleka jamaa hospital ili akachekiwe afya yake kiujumla, baada ya hapo nataka nimpeleke kwa mwanasaikolojia kama yupo humu aniDm nimpe kazi.
 
Dah! Mambo ya utajiri yanasiri nzito nzito sana.
 
Huyu ni wewe hakuna mtu anaeza mwambia mtu kitu ka hicho..by the way pole sana kwa kuingiliana na mzazi sababu ya Mali
 
Huyu ni wewe hakuna mtu anaeza mwambia mtu kitu ka hicho..by the way pole sana kwa kuingiliana na mzazi sababu ya Mali
Tueshimiane basi kiongozi! Sikujui unijui so heshima ifate mkondo wake.
 
Hela ya shetani haiendi bure, shetani hana fadhila wala shukrani hata umpe ukoo wako wote at the akishawamaliza ni lazima akuue.
 
Pole sana mkuu, lakini unawezaje kulawiti baba yako mzazi? Kijana wa hovyo kabisa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…