Vijana tuweni makini na tuache tamaa za kijinga

Hapa naona kama maji uamezidi unga [emoji2285]
 

[emoji119][emoji119]
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...

Kama aliishiwa nguvu za kiume alikua anaendelezaje kumuingilia mwenzake...
 
Ww muongo tu hii story umeisikia kijiwen atamim hii story nilisha isikia
 
Nguvu za kiume kwake ni tatizo kwa maana kwamba hasimamishi? Na kama ndivyo aliwezaje kufanya kitendo hiyo kwa musa wote huo? Hii siyo chai?
 
Storee za vijiweni unazileta kwa great thinkers kama mimi[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Haiwezekani kwasababu ni ngumu sana uume usimame umgonge baba yako mzazi, uongo wa wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…