comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
20-30 Years, Kijana wa Kiume hana kazi, Hana kipato cha uhakika na bado kijana huyu kipaumbele chake ni:-
Aaah!!! Shairi la kijana wa sasa gumu
- Kupendeza.
- Nywele azifanye dread au azifuge tuu
- Nguo anataka avae brand
- Amiliki iPhone macho matatu
- Anukie vizuri
- Batani asikosekane.