comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Aug 12, 2023 #1 20-30 Years, Kijana wa Kiume hana kazi, Hana kipato cha uhakika na bado kijana huyu kipaumbele chake ni:- Kupendeza. Nywele azifanye dread au azifuge tuu Nguo anataka avae brand Amiliki iPhone macho matatu Anukie vizuri Batani asikosekane. Aaah!!! Shairi la kijana wa sasa gumu
20-30 Years, Kijana wa Kiume hana kazi, Hana kipato cha uhakika na bado kijana huyu kipaumbele chake ni:- Kupendeza. Nywele azifanye dread au azifuge tuu Nguo anataka avae brand Amiliki iPhone macho matatu Anukie vizuri Batani asikosekane. Aaah!!! Shairi la kijana wa sasa gumu
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Aug 12, 2023 #2 Mie nawachora tuu hapa mtaani🪑