Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na Mdada anahakikisha anabaki na "kufuli"lake na kulibandika ukutani!
SWALI KWA MSOMAJI: Je, wewe nguo zako zingebandikwa kwa vijana , zingekuwa ngapi mpaka sasa?