Vijana wa Arusha wanaozilazimisha bodaboda ziwe pikipiki za michezo wanapukutika sana na kupata vilema vya kudumu kwa kujitakia wenyewe

Arusha ndo sehemu pekee vijana wake wanamtindio wa ubongo, mwenzao kafariki kwa mbio zisizo na vifaa kinga bado wafiwa nao wanakimbia hivyo hivyo
 
sasa baba mvuta bange, mama mvuta bange,kwanini mtoto asizaliwe yupoh ivyo? we huwa huoni hata wanavoongea utafikiri wanatafuta ulimi. na Mungu alivyojua kuwaumbua, meno utafikiri anakula udongo kama fuko.
 
Lema alishawaeleza waache maujinga ya bodaa,, lakin wp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…