Vijana wa CCM onyesheni hasira zenu kwa mwenyekiti wenu kwa nini ateue waliofata teuzi na maslahi awaacheni nyinyi

Nyie vijana wa CCM wala siyo wajinga bali nyie ni mataahira kabisaaaaa
 
CCM hakuna VIJANA wenye AKILI VICHWANI
 
HIZO CHUKI ZENU PELEKENI CHADEMA SISI TUMESTAARABIKA IKITOKEA SAWA ISIPOTOKEA POA TU NYIEMNGEKUWA MMESHATOANA NGEU SASA HIVI NA dj MANKENHGEZA WENU

Kama ni hivyo msingekuwa majizi ya kura.
 

Ccm wangekuwa wanashinda uchaguzi kwa sera na ushawishi, na sio kwa mbeleko ya mwenyekiti wako kupitia kofia ya urais wangekuwa na hiyo jeuri.
 
Vijana wa ccm wamechanganyikiwa KWA Sasa ,mkuu waacheni watulize maumivu,
 
Chadema wame jam utadhani wao ni zesta nilitegemea ccm ndo wakasilike na teuzi hizi za wakina joshua na lijualikali lakini imekuwa kinyume chake.
 
Vijana wa ccm wamechanganyikiwa KWA Sasa ,mkuu waacheni watulize maumivu,
Kwenye magroup yao huko wanatukana kama vichaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ wamekufa moyo kabisa maana walijiweka kimbelembele sana uzuri wake walimkataa mama Samia nae amewaonyesha kwamba boss hanuniwi.
 
Kwenye magroup yao huko wanatukana kama vichaa๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ wamekufa moyo kabisa maana walijiweka kimbelembele sana uzuri wake walimkataa mama Samia nae amewaonyesha kwamba boss hanuniwi.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ Wanazidi kuchanganyikiwa, Yani ccm vijana wengi hawapo KWA maslai ya Chama ,bali wapo KWA ajili ya matumbo yao , that's tuliona wakati wa kura za maoni ,watu walikimbia makazini kwenda tia nia , walipocheleweshewa mshahara wacha waanze piga mayowe, tafuteni pesa vijana ,fanya siasa Kama seemu ya kiburudisho ,ila sio kwa dhiki, ukiteuliwa sawa ila usiwe ndo mikakati wako wa kutoka kimaisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ