Vijana wa CCM onyesheni hasira zenu kwa mwenyekiti wenu kwa nini ateue waliofata teuzi na maslahi awaacheni nyinyi

Vijana wa ccm siyo wajinga kama vijana wa chadema!

Kuna nafasi kibao ambazo rais Samia amewateua vijana wa ccm. Sasa hatuwezi kuharibu image ya chama chetu kisa chuki zenu kwa nafasi 3 za Lijuakali, Mashinji na Nasari.

Huu uteuzi wa awamu hii mama amewakomesha sana machadema sasa yanajribu ku divert ionekene vijana wa ccm ndio wanaumia.

Acheni ujinga jamani! Lowasa alipohamia chadema alipewa nafasi ya kugombea urais fasta fasta huku watu waliopigania chama kwa damu kama kina Slaa wakitukanwa na vijana watiifu kwa Mbowe!
Same kwa Sumaye, Nyarandu na wengineo lakini sijawahi kuona vijna wa chadema wakionesha hasira kwa Mbowe!

Endeleeni kudemka! Si mlikuwa mnasema mama anawakomesha mataga? Mbona toka juzi mmechachama kama siafu kila bavicha anaanzisha uzi? Kuna nini huko bavicha na huu uteuzi?

Huu uzi wako una tofauti gani na ule wa bavicha mwenzio Mshana jr?

Na bado, tukiwambia ccm ni mfumo mnabaki mnakenua mimmeno hoo Samia siyo sawa na mwendazake! Sasa hivi vilio vyenu pelekeni ubelgiji.
Nyie vijana wa CCM wala siyo wajinga bali nyie ni mataahira kabisaaaaa
 
Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu.

Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama vyama vyao kufuata masilahi na teuzi halafu nyinyi wakubwa wanawapita tu utadhani ni begi la misumari.

Nyie ndiyo mliohangaika kufanya kazi za chama, kunadi sera zake, na kufanya mipango ili chama kishinde, halafu fupa wanakuja kupewa akina Nassari, mtu ambaye kwanza alifukuzwa bungeni kwa utovu wa nidhamu.

Nyie vijana wa CCM, mnajua vizuri kuwa akina Nassari na Lijualikali hawakuja CCM kwa kuipenda CCM wala sera zake bali Walinunuliwa kwa ahadi za vyeo na fedha. Je mnakubali kuwa wao ni bora kuliko nyinyi?.

Mna haki ya kumchekea Mwenyekiti usoni ila mkigeuka kunjeni ndita

Mba haki ya kumshangilia Mwenyekiti mkutanoni ila mkitoka mzomeeni kimoyomoyo

Mna haki ya kumwambia Mwenyekiti asante, lakini kimoyomoyo mseme kuwa hapana.

Mna haki ya kumvisha kilemba cha ukoka Mwenyekiti wenu ila mkibaki peke yenu semeni kuwa amechemsha!

Mlichofanyiwa ni kuvuliwa nguo hadharani, waziwazi kuwa nyinyi ni mavuvuzela hamtoshi, bali wale wasaliti mamluki ambao hawajawahi kukifanyia chema chama ndo wanaonekana wa maana.

Vijana wa CCM poleni sana, Wakubwa wenu hawawaamini!
CCM hakuna VIJANA wenye AKILI VICHWANI
 
HIZO CHUKI ZENU PELEKENI CHADEMA SISI TUMESTAARABIKA IKITOKEA SAWA ISIPOTOKEA POA TU NYIEMNGEKUWA MMESHATOANA NGEU SASA HIVI NA dj MANKENHGEZA WENU

Kama ni hivyo msingekuwa majizi ya kura.
 
Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu.

Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama vyama vyao kufuata masilahi na teuzi halafu nyinyi wakubwa wanawapita tu utadhani ni begi la misumari.

Nyie ndiyo mliohangaika kufanya kazi za chama, kunadi sera zake, na kufanya mipango ili chama kishinde, halafu fupa wanakuja kupewa akina Nassari, mtu ambaye kwanza alifukuzwa bungeni kwa utovu wa nidhamu.

Nyie vijana wa CCM, mnajua vizuri kuwa akina Nassari na Lijualikali hawakuja CCM kwa kuipenda CCM wala sera zake bali Walinunuliwa kwa ahadi za vyeo na fedha. Je mnakubali kuwa wao ni bora kuliko nyinyi?.

Mna haki ya kumchekea Mwenyekiti usoni ila mkigeuka kunjeni ndita

Mba haki ya kumshangilia Mwenyekiti mkutanoni ila mkitoka mzomeeni kimoyomoyo

Mna haki ya kumwambia Mwenyekiti asante, lakini kimoyomoyo mseme kuwa hapana.

Mna haki ya kumvisha kilemba cha ukoka Mwenyekiti wenu ila mkibaki peke yenu semeni kuwa amechemsha!

Mlichofanyiwa ni kuvuliwa nguo hadharani, waziwazi kuwa nyinyi ni mavuvuzela hamtoshi, bali wale wasaliti mamluki ambao hawajawahi kukifanyia chema chama ndo wanaonekana wa maana.

Vijana wa CCM poleni sana, Wakubwa wenu hawawaamini!

Ccm wangekuwa wanashinda uchaguzi kwa sera na ushawishi, na sio kwa mbeleko ya mwenyekiti wako kupitia kofia ya urais wangekuwa na hiyo jeuri.
 
Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu.

Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama vyama vyao kufuata masilahi na teuzi halafu nyinyi wakubwa wanawapita tu utadhani ni begi la misumari.

Nyie ndiyo mliohangaika kufanya kazi za chama, kunadi sera zake, na kufanya mipango ili chama kishinde, halafu fupa wanakuja kupewa akina Nassari, mtu ambaye kwanza alifukuzwa bungeni kwa utovu wa nidhamu.

Nyie vijana wa CCM, mnajua vizuri kuwa akina Nassari na Lijualikali hawakuja CCM kwa kuipenda CCM wala sera zake bali Walinunuliwa kwa ahadi za vyeo na fedha. Je mnakubali kuwa wao ni bora kuliko nyinyi?.

Mna haki ya kumchekea Mwenyekiti usoni ila mkigeuka kunjeni ndita

Mba haki ya kumshangilia Mwenyekiti mkutanoni ila mkitoka mzomeeni kimoyomoyo

Mna haki ya kumwambia Mwenyekiti asante, lakini kimoyomoyo mseme kuwa hapana.

Mna haki ya kumvisha kilemba cha ukoka Mwenyekiti wenu ila mkibaki peke yenu semeni kuwa amechemsha!

Mlichofanyiwa ni kuvuliwa nguo hadharani, waziwazi kuwa nyinyi ni mavuvuzela hamtoshi, bali wale wasaliti mamluki ambao hawajawahi kukifanyia chema chama ndo wanaonekana wa maana.

Vijana wa CCM poleni sana, Wakubwa wenu hawawaamini!
Vijana wa ccm wamechanganyikiwa KWA Sasa ,mkuu waacheni watulize maumivu,
 
Chadema wame jam utadhani wao ni zesta nilitegemea ccm ndo wakasilike na teuzi hizi za wakina joshua na lijualikali lakini imekuwa kinyume chake.
 
Vijana wa ccm wamechanganyikiwa KWA Sasa ,mkuu waacheni watulize maumivu,
Kwenye magroup yao huko wanatukana kama vichaa😃😃😃 wamekufa moyo kabisa maana walijiweka kimbelembele sana uzuri wake walimkataa mama Samia nae amewaonyesha kwamba boss hanuniwi.
 
😀😃 Wanazidi kuchanganyikiwa, Yani ccm vijana wengi hawapo KWA maslai ya Chama ,bali wapo KWA ajili ya matumbo yao , that's tuliona wakati wa kura za maoni ,watu walikimbia makazini kwenda tia nia , walipocheleweshewa mshahara wacha waanze piga mayowe, tafuteni pesa vijana ,fanya siasa Kama seemu ya kiburudisho ,ila sio kwa dhiki, ukiteuliwa sawa ila usiwe ndo mikakati wako wa kutoka kimaisha,
 
Back
Top Bottom