Environmental Security
Senior Member
- May 21, 2020
- 181
- 261
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Napenda kutumia fursa hii kuwasihi na kuwahimiza vijana wa Chama Cha Mapinduzi tujitokeze kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi za kuteuliwa na chama chetu ili kugombea nafasi za kuwakilisha wananchi katika ngazi ya ubunge na uduwani, nawahimiza vijana wenzangu waTanzania hasa baada ya chama chetu kuendelea kutoa fursa pana ya kuhakikisha uwanja unakuwa na usawa kwa kila mmoja anayejitosa, mchakato utakaotumika mwaka huu hautoi nafasi ya kumpatia nafasi kubwa mtu yeyote bali kila mmoja anayo nafasi.
Nafahamu jinsi chama chetu kilivyo na vijana makini, hivyo tutumie fursa hii kuhakikisha tunajitokeza kwa wingi katika majimbo yetu na kugombea, na hii pia ni moja kati ya shabaha iliyopelekea chama kuweka mchakato wa mwaka huu kuwa wa namna hii.
Mimi tayari nasubiri dirisha lifunguliwe niende kuchukua fomu ambayo ni bure kabisa hununui wala hulipii chochote.
Vijana tukutane kwa wingi Dodoma tukiwa wawakilishi wa wananchi mwaka huu baada ya uchaguzi.
Taifa linawaamini, chama kinawaamini na kiongozi wa Taifa hili na chama ana imani kubwa kwa vijana wa Taifa hili na tunao ushahidi wa jinsi anavyowaamini na kuwapa nafasi.
Kidumu Chama cha Mapindizi
CCM imara