Vijana wa CHADEMA Arusha wagoma kushiriki maandamano kuhusu suala la Mbowe

Hiyo ni MiCCM, Mbona Kila Mtu anajua Wanavyojichamefelage.. CCM Mbona Mnapata Shida Sana Si Mwachieni tu Mbowe...Mmebugi steps ktk Kumkamata Mbowe. Hii style Wanayoitumia Vijana Wa CCM ni ya Kianalogy zaidi. Ujinga Ujinga...
 
Ccm wao walishakufa muda mrefu nafasi yao ikarithiwa na polisi, tume yao ya uchaguzi na usalama wa taifa na hao ndio wanapambana na Chadema leo.
 
CCM imeishiwa mbinu na kwa sasa inaelekea kukata pumzi. Siku zote wenye akili wanaishangaa kabisa ujinga huu wanaouendeleza,
Kila wakiteleza mkakati huu mfu wanaongeza idadi ya watu wanaojiunga na harakati za kudai Katiba mpya
 
Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.

Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.

Haya mtifuano huo ndani ya CHADEMA.
 
Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm
Habari za CHADEMA zitangazwe na TBC!!!
Hao ni parody. Besides, hao CCM kamwe hawajawahi na mawazo wao huunga mkono kila kitokacho kwa viongozi wao. Hata kesho viongozi wao wakiamks na kusema wanaanzisha mchakato wa kikatiba na wao wataunga mkono.

Ksms ilivyokua Korona, wote waliunga mkono kiwa tumeimaliza korona, wakaunga mkono kiwa hstutaki chanjo na sasa wanaunga mkono kuwa ipo na wanaunga mkono chanjo yake. Hahitajiki uwe na akili kuwa CCM
 
anayefadhili huu ujinga ana akili timamu kweli? ndiyo hela za tozo zinafanya huu upuuzi? toka wale wa mwanzo kuumbuliwa siku hizi wanapandisha barakoa hadi kwenye macho kuficha sura zao naona na t shirt za katiba mpya wanazikwepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…