Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za CHADEMA zitangazwe na TBC!!!
Hao ni parody. Besides, hao CCM kamwe hawajawahi na mawazo wao huunga mkono kila kitokacho kwa viongozi wao. Hata kesho viongozi wao wakiamks na kusema wanaanzisha mchakato wa kikatiba na wao wataunga mkono....
Hivi CCM mbona mnaogopa katiba mpya kiasi hiki? SIJUI mtaikwepaje?Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm
Kuna baadhi ya wanaccm wanaipinga katiba, alakini hawajui faida yake. So acha waendelee kupinga huku wakubwa wakinufaika na familia zao, wanamiliki majumba ya kifahari, magari ya kifahari na kusafiri safari za nje kula bata na familia zao. Mtanzania masikini na asiejitambua anang'ang'ana katiba ya zamani iendelee 😂😂😂
Kabisa, halafu ccm wanatumia mbinu za kizamani ile mbaya. Kuna wengine huku mitandaoni nao wanajifanya ni wanacdm, lakini wao wanaishambulia cdm tu. Na huwa wanajisahau wakiona ccm inapewa vya moto wanaingia kuitetea😁😁 mfano kamanda asiyechokaSimple Logic, wangekua Chadema kweli mbona Polisisiem wangeshawakamata! Yaani Chadema hata kwenda kusali wanakamatwa, Leo ndio waachie waongee na taarifa irushwe TBC? Ni mwendawazimu peke yake atakayekubali hiki
Magaidi yana umoja mno .Sijawahi kuona chombo cha habari cha kipuuzi kama TBC, hii ni Mara ya pili wanarusha hizi habari za kijinga. Siku tukiwatia vidole vya macho hao wanaojiita Vijana wa Chadema TBC waripoti pia
Ongeza sautiiiiiiSimple Logic, wangekua Chadema kweli mbona Polisisiem wangeshawakamata! Yaani Chadema hata kwenda kusali wanakamatwa, Leo ndio waachie waongee na taarifa irushwe TBC? Ni mwendawazimu peke yake atakayekubali hiki
Ndio unapoambiwa ccm ni chama Cha mapumbavu
TBC huwa siwaaminiNimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm
Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm