Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Pendo, Pendo, Pendooooooooooo..!!!!CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE
Mkoani Arusha.
Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza mahakama kumuachia huru mwenyekiti wa chama hicho anayekabiliwa na kesi mbaya ya Ugaidi nchini yenye mikakati ovu dhidi ya viongozi wa nchi na raslimali za umma kwa mjibu wa mkuu wa jeshi la polisi nchini kamanda Saimon Sirro ambaye alisikika akizungumza katika mahojiano ya televisheni hivi juz....