Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Pendo, Pendo, Pendooooooooooo..!!!!CHADEMA ARUSHA YA LAZIMISHA VIJANA KUSHIRIKI MAANDAMANO, VIJANA WAGOMA WATOA MSIMAMO MKALI KUHUSU SUALA LA MBOWE
Mkoani Arusha.
Moja ya mikakati mikubwa inayoendelea kufanywa na CHADEMA nchini ni pamoja na kuendelea kuratibu zoezi kubwa la maandamano kwenda mahakamani kwa ajili ya kuishinikiza mahakama kumuachia huru mwenyekiti wa chama hicho anayekabiliwa na kesi mbaya ya Ugaidi nchini yenye mikakati ovu dhidi ya viongozi wa nchi na raslimali za umma kwa mjibu wa mkuu wa jeshi la polisi nchini kamanda Saimon Sirro ambaye alisikika akizungumza katika mahojiano ya televisheni hivi juz....
Alianza Wasira kusema haya..!! Na wengine waliyasema haya wakiweka na deadline kabisa..!!Nakiona kifo Cha chadema kileee
Umeshindwa kabisa kujua sentensi ya jamaa ipo kwenye wakati uliopita..!!?Uhuru ulishapatikana, sasa unapigania uhuru gani tena kama sio ugaidi tu?
Nimeshalog off.
Sasa itakuwaje?Umeshindwa kabisa kujua sentensi ya jamaa ipo kwenye wakati uliopita..!!?
Magonjwa yamekutambukiaSasa itakuwaje?
Nakiona kifo Cha chadema kileee
Tunashukuru vijana kwa kuelewa kauli za wazazi wenu.
Hayajanitambukia hata kidogo.Magonjwa yamekutambukia
Kati ya waliojitokeza leo kuandamana hakuna kiongozi wa kata, shina wala taifa aliejitokeza kuandamana. Nafikiri hata wale waliokamatwa sasa hivi wanajilaumu baada ya kugundua kuwa viongozi wakuu wa chama hicho kina Mnyika, Mwalimu na wengineo hawakufika maandamanoni. Hili liwe somo kwa nyumbu wengine kabla ya kuandamana wahakikishe viongozi wa chama nao wanashiriki.
Hivi wewe kichaa, unatarajia kuaminiwa na nani labdawendawazimu wenzako tu. Toa ushuzi wako hapa halafu kachambe tenaNimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm
Uwezo huo unao wewe gaidi. Fanya wakuunganishe na magaidi wenzako huko MahakamaniSijawahi kuona chombo cha habari cha kipuuzi kama TBC, hii ni Mara ya pili wanarusha hizi habari za kijinga. Siku tukiwatia vidole vya macho hao wanaojiita Vijana wa Chadema TBC waripoti pia
Vipi leo ulienda kusikiliza kesi ya Gaidi Mbowe?Wamedai walitumiwa nauli ili waende Dar,
Mbinu zingine zakishamba hadi aibu.
CCM mmenunua wabunge na madiwani sawa hivi mnajinunua wenyewe halafu mnatoka nje kuwa mmenunuliwa.
Story za kawaida hizi,hata Mandela alisalitiwa,ila sio ajabu hayo ni Mawazo yao,ni haki yao.ndio maana ya Demokrasia na maendeleo,Chadema.Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm
Kwanini nisikilize wakati vyombo vya habari vyote ambavyo huwa haviwezi kuripoti issue za upinzani Leo vimeripoti.Vipi leo ulienda kusikiliza kesi ya Gaidi Mbowe?
Nimeona hapa TBC kuwa hawaungi mkono madai ya Katiba wala maandamano kwenda mahakamani kifupi wako kivingine na chama chao.
Walitumiwa nauli waende dar wakagoma.
Haya mtifuano huo ndani ya cdm
Hawa jamaa ni hewa kabisa. Baada ya ile sinema yao ya Dar kubuma wameona wahamishie Arusha 😂😂Simple Logic, wangekua Chadema kweli mbona Polisisiem wangeshawakamata! Yaani Chadema hata kwenda kusali wanakamatwa, Leo ndio waachie waongee na taarifa irushwe TBC? Ni mwendawazimu peke yake atakayekubali hiki
Sijawahi kuona chombo cha habari cha kipuuzi kama TBC, hii ni Mara ya pili wanarusha hizi habari za kijinga. Siku tukiwatia vidole vya macho hao wanaojiita Vijana wa Chadema TBC waripoti pia
Lakini na nyie sijui mnakwama wapi na kwa namna gani!!!!!!!. Bendera ya covid ivuma kuelekea kaskazini magharibi, woooote mkaenda huko huko, Sasa inavuma kwenda mashariki ya mbali, na ninyi mmekimbilia huko huko.Magaidi yana umoja mno .
Anayeangushwa na konyagi alafu akasingizia amepigwa na wasiojulikana ni gaidi tu.