johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Iringa wapo na Mbowe. Msigwa hawazi kupingana na Mbowe. Wanaofanya hivyo wanataka kuwagawa wana Chadema kwa maslahi yao. Hao ni SISIEM tu na si vinginevyo.Iringa kuchele.
Vijana wasomi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mkoani Iringa ambao ni wanachama wa Chadema wanajipanga ili waweze kumchukulia fomu mchungaji Msigwa ambaye pia ni mbunge wao.
Vijana hao wamesema kama mchungaji Msigwa atasitasita kugombea basi watamshawishi mbunge David Silinde wa Mbozi.
Niwatakie makamanda uchaguzi mwema
Maendeleo hayana vyama!
Nasubiri maoni ya allen kilevela!Iringa wapo na Mbowe. Msigwa hawazi kupingana na Mbowe. Wanaofanya hivyo wanataka kuwagawa wana Chadema kwa maslahi yao. Hao ni SISIEM tu na si vinginevyo.
Niko hapa Victoria bar nacheza pool.......habari ya mjini ndio hiyo Msigwa " akisitasita" watamshawishi Silinde.Muongo usituwekee maneno mdomoni mwetu
Bwashee mbona unateseka?!Moderator huu uchafu mkiendelea kuuacha mtaleta machafuko hapa jf
Amina!Nawaombea kwa Muumba mpite kipindi hiki salama, maana komyuniti ya wachagga mmh.
Mchungaji Msigwa kasoma nchini South Africa!Wamtoe mbowe form four with division zero wamlete msigwa form two ,sijui wanabadili nini sasa
State agent
Usiwatishe mods kwa kushindwa kwako hojaModerator huu uchafu mkiendelea kuuacha mtaleta machafuko hapa jf
Mchungaji Msigwa kasoma nchini South Africa!
Naona unafoka baada ya kuona hakuna anayetamka jina lako kukupendekeza uenyekiti.Roho inakuumaModerator huu uchafu mkiendelea kuuacha mtaleta machafuko hapa jf
Hakika bwashee!Ndo demokrasia...
Tumechoka uongozi wa maisha. Mabadiliko ni lazima ili kukinusuru chama chetu pendwa. Twenty yrs is enough tuachie wengineIringa wapo na Mbowe. Msigwa hawazi kupingana na Mbowe. Wanaofanya hivyo wanataka kuwagawa wana Chadema kwa maslahi yao. Hao ni SISIEM tu na si vinginevyo.