Vijana wa Chadema mkoani Iringa kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa ili amrithi mh Mbowe uenyekiti taifa

Vijana wa Chadema mkoani Iringa kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa ili amrithi mh Mbowe uenyekiti taifa

Leo CCM wamefurika na mada zinazo fanana za kuwavuruga CHADEMA!
Juzi nilisema wote mnatabirika sana kwenye mipango na propaganda zenu.
 
Iringa kuchele.

Vijana wasomi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mkoani Iringa ambao ni wanachama wa Chadema wanajipanga ili waweze kumchukulia fomu mchungaji Msigwa ambaye pia ni mbunge wao.

Vijana hao wamesema kama mchungaji Msigwa atasitasita kugombea basi watamshawishi mbunge David Silinde wa Mbozi.

Niwatakie makamanda uchaguzi mwema

Maendeleo hayana vyama!
Wanaccm waacheni Chadema wafanye Uchaguzi wao nyie sherehekeeni Ushindi mlioupata wa Uchaguzi wa Serikali za mitaa
 
Back
Top Bottom