Vijana wa CHADEMA msipotoshe umma. Aliyebakwa yupo salama. Msitumie mitandao ya jamii kupotosha mambo. Mnaitumia vibaya X

Salmini au salimini?
Anyway alindwe.
 
Inahusiana vipi na Chadema wewe kilaza? Kwani waliompiga mande ni wanachama wa ccm au chadema ?
 
Mungu tu aendelee kutulinda, binadamu ni mnyama zaidi ya shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…