🤔🤔🤔🤔🤣🤣Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.
By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.
Wanalinda amani kwa udi na uvumba siyo kwa ajili ya watanzania bali kwa matumbo yao ili wazidi na kuendelea kutafuna kwa amani walichoiba bila bughda.Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.
By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.
Wewe kapuku Idugunde huna uwezo wa kuwakirimu wanachademaJust imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.
By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.
kumbe bado mnakunywa hizo pombe za kimasikini !Dada yangu. Yaani hizo lite za buku jero naweza kumwaga kreti mbili waulize wenzako
Hakuna tajiri anayegongea biaKwani Sugu anakununulia zipi?
Usicheke
Aisee idugunde, sasa kawa mfadhili wa Chadema, nchi ina vituko sana hii, ila pia hata kama ni kweli ,sasa unaeleza jf lengo tujue upo vizuri kiuchumi,Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.
By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.
Anakwambia umelewa utafhani amekununulia hata moja 😆😆Tindo calm down. Nimelewa saa ngapi?
Pombe za wajane [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji854]kumbe bado mnakunywa hizo pombe za kimasikini !