Vijana wa Chadema msiwe na hofu mimi sio mwanaCCM kuvaaa kaunda suti ya kijani sio kwamba mimi kada. Ila CCM wanajitahidi kumantain political of peace

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.

By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...

Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.
 
🤔🤔🤔🤔🤣🤣
 
Wanalinda amani kwa udi na uvumba siyo kwa ajili ya watanzania bali kwa matumbo yao ili wazidi na kuendelea kutafuna kwa amani walichoiba bila bughda.
 
What do you mean?
 
Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.

By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...

Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.
Wewe kapuku Idugunde huna uwezo wa kuwakirimu wanachadema
 
Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.

By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...

Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.
Aisee idugunde, sasa kawa mfadhili wa Chadema, nchi ina vituko sana hii, ila pia hata kama ni kweli ,sasa unaeleza jf lengo tujue upo vizuri kiuchumi,
 
Back
Top Bottom