Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Just imagine unavaa kaunda suti ya kijani kisa tu vijana wa Chadema wanakujua wewe ni Idugunde basi kila mtu anaaanza kukughasi umnunulie bia.
By the way nilikuwa Singida naangalia mechi ya Yanga na big stars sasa ninadrive mkweche wangu kwenda Igunga. Nimekula kuku , balimi extra lager na ...
Ila tuipongeze CCM kwa kulinda amani ya taifa letu.