Vijana wa CHADEMA walio vyuo vikuu mbalimbali na ubunge 2015

Priva mella

Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
81
Reaction score
28
Vijana wachadema mlio vyuo mbalimbali nchi nataka niwashauri jambo moja chama chetu kimekuwa sana kila mtanzania mpenda maendeleo atakiri hilo,ila tatizo tukiwa vyuoni watu tunawekeana hadi visasi tukianza kusema jimbo fulani ni langu na mwingine naye hivyohivyo.

Dodoma,Udsm,Tumaini,Mwenge,CBE,IFM na vingine vingi vinavijana wapenda mageuzi ila wanafanyiana hadi fujo kisa mnagombania majimbo.

swali langu kwenu wasomi 2015 CDM tunakwenda ikulu wakinanani watakuwa wakurugenzi,wakuu wa Idara,mawakili waserikali,makatibu wakuu kama sio sisi.

Tunakimbilia tu ubunge nani atakuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa kama katiba haitabadilika ushauri wangu kwenu nikwamba twende kwanza tukajenge chama mikoa,wilaya,kata na vijiji tulivyo zaliwa kwalengo lakutengeneza mazingira mazuri yakuingia ikulu 2015.

T
uking'ang'ania ubunge kila mtu tutayajenga makundi ndani ya chama pengine tutaweza kukiua chama chetu kwa mikono yetu wenyewe, Vijana wapenda maendeleo tutafakari pia tuchukue hatua ya kwenda kujenga chama
.
 
Kama wanafanya hivyo bac elimu wanayopata haijaweza kuwakomboa fikra si lazima wote tuwe wabunge tunahitaj watendaj katika chama na serikal!
 
wanajisumbua upepo wa 2010 umeishapita 2015 ni kilio kwa chadema.
 
[QUOTE=CUF Ngangari msijidanganye chadema ngoma mdundo watu tunakimbiza
 
Mimi najua kwamba watumishi wa Serikali wapo na kinachotekelezwa na wao ni Existing Party Manifesto, MKUKUTA na mipango mingine ya Serikali. Sina hakika sana kwamba ni lazima hawa vijana waingie kwanza serikalini ili kupata makatibu wakuu, wakurugenzi, maafisa waandamizi n.k.

Nafasi za mkuu wa mkoa na Wilaya ni za kisiasa zaidi kama ilivyo kwa Mawaziri, vijana waingie katika Utumishi wa Umma lakini kwa nguvu sana waingie katika Politics sababu maamuzi mengi ya Kiserikali yameegemea kwenye Siasa. Ukiwa na watu makini katika siasa, ni obvious mambo mengi ya Serikali yataenda vizuri. Wataalam wengi wa Serikali wanapanga na kushauri vema, shida ni ushauri huo ukishafika kwa Political Figure ndo KIZUNGUMKUTI kinaanza,,,

Vijana CHADEMA jipangeni, wekeni mikakati, saidianeni for 2015...Nguvu kubwa ya watu iko nyuma yenu
 
Haya mambo yapo ila sidhani kama yanaleta mifarakano na makundi.
 
Kila mmoja anataka kua mbunge ili apate maisha bora!!,kudadadeki patachimbika!
 
muhas,kcmc, bugando.imtu na habat kairuki wao hawataki ubunge au shule ngumu
 
NI KWELI NDOTO IZO ZIPO KWA WANAVYUO WENGI SANA, BT KIKUBWA TUKIJENGE CHAMA KUANZIA NGAZI YA SHINA ILI IWE RAHISI KWA 2015, PIA TURIDHIKE NA ATAKAYEPITISHWA NA CHAMA,:A S soccer:
 
Nawashauri vijana wenzangu watafute kitabu kinaitwa THE POLITICS GUY CAMPAIGN TIPS: How to win a local election by Vic Beradrelli published by Publish America Baltimore.

Huyu bwana anasema Local offices are not won as much as on issues but on gut-level instincts of likeability plus name recognition and the hardwork of the candidate.

Hivyo nawashauri wanaogombea majimbo wakiwa chuoni na kwingineko ku-abide kwenye mambo matatu hapo juu na kuanza mapema harakati huko jimboni ili wakubalike na wapiga kura, wafahamike vizuri na wapiga kura na wafanye kazi flan flan za kijamii huko majimbon ili through hizo kazi wapigakura wawataman watu hao kuwa viongoz wao. Tena wanashauri kuwa hutakiwi kujidhihirisha kuwa wataka ubunge. Ni matendo yako ndiyo yakupambanue wewe kama mtu unayestahiri kupewa ubunge.
 
Wasomi walioko vyuoni,Kuna wasomi walioko tayari majimboni na wanajiandaa kwa 2015.Kazi kweli kweli!!!
 
Kaka mpungati makundi yatajitoze hasa kwenye mchakato wakura za maoni
 
[QUOTE=magombe junior;ndio maana nimetoa wazo kuofia kushikana mashati
 
Mkuu acha kujidanganya mwaka 2015 Chadema hawezi kushida urais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…