Priva mella
Member
- Oct 31, 2012
- 81
- 28
Vijana wachadema mlio vyuo mbalimbali nchi nataka niwashauri jambo moja chama chetu kimekuwa sana kila mtanzania mpenda maendeleo atakiri hilo,ila tatizo tukiwa vyuoni watu tunawekeana hadi visasi tukianza kusema jimbo fulani ni langu na mwingine naye hivyohivyo.
Dodoma,Udsm,Tumaini,Mwenge,CBE,IFM na vingine vingi vinavijana wapenda mageuzi ila wanafanyiana hadi fujo kisa mnagombania majimbo.
swali langu kwenu wasomi 2015 CDM tunakwenda ikulu wakinanani watakuwa wakurugenzi,wakuu wa Idara,mawakili waserikali,makatibu wakuu kama sio sisi.
Tunakimbilia tu ubunge nani atakuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa kama katiba haitabadilika ushauri wangu kwenu nikwamba twende kwanza tukajenge chama mikoa,wilaya,kata na vijiji tulivyo zaliwa kwalengo lakutengeneza mazingira mazuri yakuingia ikulu 2015.
Tuking'ang'ania ubunge kila mtu tutayajenga makundi ndani ya chama pengine tutaweza kukiua chama chetu kwa mikono yetu wenyewe, Vijana wapenda maendeleo tutafakari pia tuchukue hatua ya kwenda kujenga chama.