CCM policy ya kuua upinzani ni hiyo
Hii ina baraka za samia maana alisema ugaidi wa vijana katika hotuba yake juzi
===========
Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026.
Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni wamesomewa shitaka la kula njama za UGAIDI katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.
Hatua hii imekuja baada ya wakili wetu kufungua maombi ya kuwataka polisi kuwaleta vijana hawa mahakamani au kuwaachia huru.
Inasikitisha ikizingatiwa kuwa vijana hawa walikamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya mitihani yao ya mwisho (UE).
Imetolewa na:
Victor Baleke,
Mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Nyasa.