Samia anaona yuko sawa na anataka maridhian9CCM policy ya kuua upinzani ni hiyo
Hii ina baraka za samia maana alisema ugaidi wa vijana katika hotuba yake juzi
===========
Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026.
Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni wamesomewa shitaka la kula njama za UGAIDI katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.
Hatua hii imekuja baada ya wakili wetu kufungua maombi ya kuwataka polisi kuwaleta vijana hawa mahakamani au kuwaachia huru.
Inasikitisha ikizingatiwa kuwa vijana hawa walikamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya mitihani yao ya mwisho
(UE).
Imetolewa na:
Victor Baleke,
Mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Nyasa.
Erythrocyte , chadema should do more and seek international intervention! hawawatatesa sana watu wa chadema. Diaspora wafanye juhudi za kwenda hata Un kutoa malalamiko..... press tena EU kuwa hali inazidi kuwa mbaya than beforeNi kweli
Ujumbe umefikaErythrocyte , chadema should do more and seek international intervention! hawawatatesa sana watu wa chadema. Diaspora wafanye juhudi za kwenda hata Un kutoa malalamiko..... press tena EU kuwa hali inazidi kuwa mbaya than before
Gaidi au mhaini ni mtu yeyote asiyekubaliana na utawala wa kiimla wa fazafaka wa Kizimkazi.CCM policy ya kuua upinzani ni hiyo
Hii ina baraka za samia maana alisema ugaidi wa vijana katika hotuba yake juzi
===========
Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026.
Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni wamesomewa shitaka la kula njama za UGAIDI katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.
Hatua hii imekuja baada ya wakili wetu kufungua maombi ya kuwataka polisi kuwaleta vijana hawa mahakamani au kuwaachia huru.
Inasikitisha ikizingatiwa kuwa vijana hawa walikamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya mitihani yao ya mwisho (UE).
Imetolewa na:
Victor Baleke,
Mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Nyasa.
View attachment 3635517
Bila civil war hakuna kitu kitafanikiwaCCM ni kama makaburu, hawatatoka kwa maongezi peke yake
Ndipo wanapotupelekaBila civil war hakuna kitu kitafanikiwa
Ila wazungu wametuletea balaa lingine.CCM policy ya kuua upinzani ni hiyo
Hii ina baraka za samia maana alisema ugaidi wa vijana katika hotuba yake juzi
===========
Viongozi watatu wa CHASO Mkoa wa Mbeya pamoja na vijana wengine watatu waliokamatwa Mkoani Mbeya tarehe 03/07/2026.
Baada ya kukaa ndani kwa siku 20, hatimaye leo jioni wamesomewa shitaka la kula njama za UGAIDI katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya.
Hatua hii imekuja baada ya wakili wetu kufungua maombi ya kuwataka polisi kuwaleta vijana hawa mahakamani au kuwaachia huru.
Inasikitisha ikizingatiwa kuwa vijana hawa walikamatwa wakiwa kwenye maandalizi ya mitihani yao ya mwisho (UE).
Imetolewa na:
Victor Baleke,
Mwenyekiti BAVICHA Kanda ya Nyasa.
View attachment 3635517
Kuua Zambi Mkuu,kuwaua hao machoko