Uchaguzi 2020 Vijana wa CUF Dar wamchukulia Prof. Lipumba fomu ya kuwania Urais

Uchaguzi 2020 Vijana wa CUF Dar wamchukulia Prof. Lipumba fomu ya kuwania Urais

Wakati lowassa anaingia ukawa professa alijitoa na hatimaye kuitwa msaliti...swali langu ni je licha ya lowassa kurudi ccm professa bado ni msaliti???
 
Hao ni vijana toka Lumumba CUF hawana vijana kwa sasa wana wazee wachache sana.
 
Hao vijana ni wakazi wa dar wametoa wapi hela au mwenyekiti wao nae ametoa copy moja tu ya fomu
Jana alialikwa chamwino Dodoma pamoja na kina James Mbatia,posho yamwaliko aliyopokea jana ndiyo kaona awakusanye vijana wachovu ba bodaboda ,kawawekea petrol lita mbili mbili na kuwashikisha hiyo pesa ionekane wamemjangia.

Kwisha habali yake.
 
Hao wanaoitwa vijana wa Dar es salaam itakuwa ni mashushu tu wanaomtumia kuvuruga uchaguzi.Ndio waliomtoa upinzani enzi zile halafu wakaiuwa CUF ya kweli na ndio waliompiga virungu wakati alionekana ana hoja za kiprofesa.Nakubali sasa kwisha habari yake.Akili yake katika siasa ni kama ya mtoto wa darasa la 1.
Naamini wanafunzi wa darasa ka 7 wakimsikia Lipumba anazungumza hata kama kapatia wanahisi kama kwamba kafundishwa majawabu.
 
Lipumba nae ni muhanga wa ajira ndo mana miaka yote anashindwa kujiajiri anang'ang'ania pesa za mitelezo.
 
Back
Top Bottom