Ngoja niwaulize NSSF kama walishanilipa ama bado kisha nitakupa jibuSawa,itategemea nimeamkaje.
Jana alialikwa chamwino Dodoma pamoja na kina James Mbatia,posho yamwaliko aliyopokea jana ndiyo kaona awakusanye vijana wachovu ba bodaboda ,kawawekea petrol lita mbili mbili na kuwashikisha hiyo pesa ionekane wamemjangia.Hao vijana ni wakazi wa dar wametoa wapi hela au mwenyekiti wao nae ametoa copy moja tu ya fomu
Aliupata kwa kufaulu mitihani sio ufahamu na maarifaHuyo profesa sijui shida yake ni nini