Vijana wa Dar na ajira mpya ya kubet

Hili jambo mm naona c baya, japo am against it kiimani. But ukiangalia imewapa ajira vijana wengi, now vile vijiwe vya bangi na mipango ya kupora watu, imekuwa sehemu ya watu kuandaa mikeka. Now atleast mtu anajua kuna hela kaweka, anaweza poteza au kupata. Ndio maana wahindi wanachangamkia fursa, kwa kufungua makampuni kibao ya kubashiri


NB
Kuna muingereza alibet 50£ kuwa leistercity itachukua ubingwa, ikiwa imebaki mechi kama 8 hv, na leister bado iko kileleni, endapo ikitwa ubingwa huyo jamaa itabidi alipwe 1.3 billion £ na hio kampuni. Kampuni hio imempa offer ya 300 million aachilie
 
Wewe, watu tunapiga pesa Zaidi ya huo mshahara wako, ati tukalime, hayo mazao unayolima miezi 7 halafu serikali inanunua kwa mkopo, malipo baada ya mwaka, pembejeo bei juu, trecta milioni 200, wacha ujinga, nikiweka laki x2, [emoji12] najua huelewi hapo [emoji74] Nina 150k, halafu nirudi wapi..??? ..... Sikonge, we rudi tuu
 
Dr.JPM akimaliza wacheza pull awageukie na hawa wa kamari.
 
kweli hali hii na coment zao tu zinaonyesha ukubwa wa tatizo na athari zake zilivyoshika kasi
 
mwenyewe unajiona mjanja.. "pathetic"

fanyeni kazi msitegemee kamari...
Ulishawapa kazi ya kuingiza hicho kipato anachoingiza yeye?

Ni shughuli pana sana hii usijione una kazi ukajiona unajua kufanya kazi, life's tough.
Sijui kama unaelewa huo msemo?
 
Ulishawapa kazi ya kuingiza hicho kipato anachoingiza yeye?

Ni shughuli pana sana hii usijione una kazi ukajiona unajua kufanya kazi, life's tough.
Sijui kama unaelewa huo msemo?

kucheza kamari sio suluhisho ! unajua madhara ya kamari weye
 
kucheza kamari sio suluhisho ! unajua madhara ya kamari weye
Nimekwambia ni shughuli pana sana hii kwa Tz . Ndani ya miaka 25 iliyopita Tanzania haijawahi kuwa na ajira rasmi yaani uwe na uhakika wa kwenda shule na kupata kazi . Never.

Wewe kama una kazi ya kuajiriwa lazima umepata support from ndugu jamaa rafiki but not straight from what u get from school, am sure on that.

Jiulize kwanini mtu anaenda kucheza kamari? Hajaona kazi nyingine kweli?
 
Bahati nasibu hazijaanza leo ila hii ya soka imewavuta watu wengi sababu ya :

Haina longolongo sio kama ile sijui gurudumu lizungushwe ndio mshindi atangazwe. Hii matokeo ya mechi ndio yanakuhakikishia kuwa umeshinda au la.

2) uwezekano wa kushinda unategemea kujua na kufuatilia kwako mpira. Kamari hii mtu kama Dr Ricky Abdallah (mchambuzi wa soka) atapiga hela tu sababu ana uwezo mkubwa wa kujua mechi fulani itatoa matokeo fulani. Tofauti na kusubiri sijui gurudumu lizungushwe ndio mshindi atangazwe.

3)kuna mechi zinatabirika. Kuna baadhi ya mechi unakuwa na asilimia kubwa ya kujua matokeo ila tu mechi za namna hiyo inabidi uweke pesa nyingi. Nikupe mfano rahisi kama yanga icheze na majimaji au Azam na ndanda.
 
Yaani mtu akinambia niache KUBET namwona nuksi tu... Naingia zangu Le Grande na 50K natoka na 600K Ndani ya masaa 3 or 4 afu unambie niache kubet!?!?...hell no na ajira zenu.
 
Jiulize kwanini mtu anaenda kucheza kamari? Hajaona kazi nyingine kweli?

wale wanaopenda shortcut za maisha
wale wanaodhani unaweza ukakaa tu kesho ukaamka tajiri
wale wazembe wa kufanya kazi na kula kwa jasho lao

hao ndio wacheza kamari....
 
Yaani mtu akinambia niache KUBET namwona nuksi tu... Naingia zangu Le Grande na 50K natoka na 600K Ndani ya masaa 3 or 4 afu unambie niache kubet!?!?...hell no na ajira zenu.

Aisee na wewe ni mdau.?
 

ukisema bahati nasibu unazungumzia lottery... vijana wa tz , hasa DAR wanachofanya ni gambling...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…