Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulishawapa kazi ya kuingiza hicho kipato anachoingiza yeye?mwenyewe unajiona mjanja.. "pathetic"
fanyeni kazi msitegemee kamari...
Ulishawapa kazi ya kuingiza hicho kipato anachoingiza yeye?
Ni shughuli pana sana hii usijione una kazi ukajiona unajua kufanya kazi, life's tough.
Sijui kama unaelewa huo msemo?
Nimekwambia ni shughuli pana sana hii kwa Tz . Ndani ya miaka 25 iliyopita Tanzania haijawahi kuwa na ajira rasmi yaani uwe na uhakika wa kwenda shule na kupata kazi . Never.kucheza kamari sio suluhisho ! unajua madhara ya kamari weye
kwa haya majibu yaliyopo humu nadhani dawa itakuwa imekuingia. na nyimbo wamekuwekea wanakwambia tambua siku masela hazifanani daa hatare sanaaa.kweli hali hii na coment zao tu zinaonyesha ukubwa wa tatizo na athari zake zilivyoshika kasi
Mida ya kubet
Jiulize kwanini mtu anaenda kucheza kamari? Hajaona kazi nyingine kweli?
Yaani mtu akinambia niache KUBET namwona nuksi tu... Naingia zangu Le Grande na 50K natoka na 600K Ndani ya masaa 3 or 4 afu unambie niache kubet!?!?...hell no na ajira zenu.
Bahati nasibu hazijaanza leo ila hii ya soka imewavuta watu wengi sababu ya :
Haina longolongo sio kama ile sijui gurudumu lizungushwe ndio mshindi atangazwe. Hii matokeo ya mechi ndio yanakuhakikishia kuwa umeshinda au la.
2) uwezekano wa kushinda unategemea kujua na kufuatilia kwako mpira. Kamari hii mtu kama Dr Ricky Abdallah (mchambuzi wa soka) atapiga hela tu sababu ana uwezo mkubwa wa kujua mechi fulani itatoa matokeo fulani. Tofauti na kusubiri sijui gurudumu lizungushwe ndio mshindi atangazwe.
3)kuna mechi zinatabirika. Kuna baadhi ya mechi unakuwa na asilimia kubwa ya kujua matokeo ila tu mechi za namna hiyo inabidi uweke pesa nyingi. Nikupe mfano rahisi kama yanga icheze na majimaji au Azam na ndanda.