Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Kampuni gani hiyo mkuu?Juz tu nimetoka kula million tano kwa kuweka miatano mwez wa kwanza nimekula lak tatu na sabini kwa jero mwez wa kumi na moja nimekula laki mbili na 77 kwa buku unasemaje hapo
Huwa nabet throne na meridian option zao nazikubali zinanipa fursa japo mgindi nilimpiga miambiliKampuni gani hiyo mkuu?
Yaap inabidi upatie zote katka mkeka mmoja. Ukikosa mojawapo mkeka unakuwa umechanika. Kuna wengine tuna bett matokeo tofauti katika mikeka tofauti tofauti kwahyo unaweza bahatisha mmojawapokwahiyo hapo ili upate pesa ni lazima uwe umepatia timu zote?
Meridian nayo si ya mhindi tuHuwa nabet throne na meridian option zao nazikubali zinanipa fursa japo mgindi nilimpiga miambili
Mzungu yuleMeridian nayo si ya mhindi tu
Mkuu sikushauri ujifunze!...Alafu hayo sijui huwa yanachezwaje, nikipata mtu wa kunifundisha nitashukuru sana
Good answer haha..nisamehe mkuu kwa ujinga wangu,ingekuwa jambo la muhimu kwa sababu umekwishaona faida yake ungechukuwa na wanao ukawafundisha ili kuongeza kipato cha family
Huyo hajui maisha ya town c ktok namtmbo kule ambako wankopsha krsho klpwa mpka kpnd cha uchgz?! Wkt cye 2nawek mzgo Leo kesho mahsabu tena kesh bila papala yoyote!! Krb bong dar es alaam!!!acha kuongea ujinga ww watu tunalisha familia kwa kutegemea betting ...mm nilianza na mtaji wa laki moja kwa mwez naingiza laki tisa ninakuwa nacheza kwa kuwapa watu 1X yaan wa nyumban ashinde au adraw au X2 yaan wa ugenini aashinde au draw sasa kwasiku unakuta unaingiza 50000 maisha yanaenda
Hata wanaofirwa wanaingiza kipato na kulisha familia, kulisha familia hakuhalalishi njia ya kipato chako..fala weweacha kuongea ujinga ww watu tunalisha familia kwa kutegemea betting ...mm nilianza na mtaji wa laki moja kwa mwez naingiza laki tisa ninakuwa nacheza kwa kuwapa watu 1X yaan wa nyumban ashinde au adraw au X2 yaan wa ugenini aashinde au draw sasa kwasiku unakuta unaingiza 50000 maisha yanaenda
Kwny kubeti kuna option nyingi mkuu chaguo la lako unaweza kubetiNaomba mwangaza wa kubet, hivi wanapocheza mfano Yanga na Majimaji au Jana Barca na Arsenal ambapo timu inayoshinda inajulikana tu, kwahiyo inatosha tu kuweka hela labda 100,000 na kusema Yanga / Barcelona itashinda mechi hii au hadi utaje idadi ya magoli na wafungaji wake?
Endeleeni kubishana...
Me nacheza pool table asubuhi hii....
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Hahaha huo ni uchokozinisamehe mkuu kwa ujinga wangu,ingekuwa jambo la muhimu kwa sababu umekwishaona faida yake ungechukuwa na wanao ukawafundisha ili kuongeza kipato cha family