Vijana wa Dar na ajira mpya ya kubet

Vijana wa Dar na ajira mpya ya kubet

Juz tu nimetoka kula million tano kwa kuweka miatano mwez wa kwanza nimekula lak tatu na sabini kwa jero mwez wa kumi na moja nimekula laki mbili na 77 kwa buku unasemaje hapo
Kampuni gani hiyo mkuu?
 
kwahiyo hapo ili upate pesa ni lazima uwe umepatia timu zote?
Yaap inabidi upatie zote katka mkeka mmoja. Ukikosa mojawapo mkeka unakuwa umechanika. Kuna wengine tuna bett matokeo tofauti katika mikeka tofauti tofauti kwahyo unaweza bahatisha mmojawapo
 
nisamehe mkuu kwa ujinga wangu,ingekuwa jambo la muhimu kwa sababu umekwishaona faida yake ungechukuwa na wanao ukawafundisha ili kuongeza kipato cha family
Good answer haha..
 
acha kuongea ujinga ww watu tunalisha familia kwa kutegemea betting ...mm nilianza na mtaji wa laki moja kwa mwez naingiza laki tisa ninakuwa nacheza kwa kuwapa watu 1X yaan wa nyumban ashinde au adraw au X2 yaan wa ugenini aashinde au draw sasa kwasiku unakuta unaingiza 50000 maisha yanaenda
Huyo hajui maisha ya town c ktok namtmbo kule ambako wankopsha krsho klpwa mpka kpnd cha uchgz?! Wkt cye 2nawek mzgo Leo kesho mahsabu tena kesh bila papala yoyote!! Krb bong dar es alaam!!!
 
acha kuongea ujinga ww watu tunalisha familia kwa kutegemea betting ...mm nilianza na mtaji wa laki moja kwa mwez naingiza laki tisa ninakuwa nacheza kwa kuwapa watu 1X yaan wa nyumban ashinde au adraw au X2 yaan wa ugenini aashinde au draw sasa kwasiku unakuta unaingiza 50000 maisha yanaenda
Hata wanaofirwa wanaingiza kipato na kulisha familia, kulisha familia hakuhalalishi njia ya kipato chako..fala wewe
 
Naomba mwangaza wa kubet, hivi wanapocheza mfano Yanga na Majimaji au Jana Barca na Arsenal ambapo timu inayoshinda inajulikana tu, kwahiyo inatosha tu kuweka hela labda 100,000 na kusema Yanga / Barcelona itashinda mechi hii au hadi utaje idadi ya magoli na wafungaji wake?
Kwny kubeti kuna option nyingi mkuu chaguo la lako unaweza kubeti
1.matokeo
2. Magoli
3. Wafungaji wa magoli
4. Corner
5. Yellow cards
6. Penati
7. Timu kufungana
8. Correct score
9. Kipindi kipi kitakuwa n magoli mengi
10. Red card n.k
11. Home team n away team goals
12. Time of first goal
Chagua n lako option zipo nyingi
 
Endeleeni kubishana...
Me nacheza pool table asubuhi hii....
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Pesa nakula mimi au wewe??[emoji34] [emoji35]
Hasara napata mimi au wewe??[emoji35] [emoji34]
18% Ya kodi nakatwa Mimi au wewe??
Serikali imeidhinisha hii michezo ya kamari kupitia bodi ya michezo ya kubahatisha na sheria zake zipo!!!
Sasa wewe inakuudhi nini mimi nikitoa hela yangu...
Mkuu kwa taarifa yako kubet kumesaidia watu wengi sana wanaojielewa tofauti na wewe unavyodhani....Watu wana miradi yao, wanasomesha na wanapata kula yao kihalali kila siku...Sasa we unakurupuka unasema tufute kubet?? Una akili wewe[emoji15] [emoji15] ...Kodi ya mapato ya serikalini inapatikana hapo halafu waje waifute tu kizembee???

Anyways #UsiforceTufanane
 
nisamehe mkuu kwa ujinga wangu,ingekuwa jambo la muhimu kwa sababu umekwishaona faida yake ungechukuwa na wanao ukawafundisha ili kuongeza kipato cha family
Hahaha huo ni uchokozi
 
baada ya kushinda milioni moja jana Hatimae kubet imekuwa ajira rasmi kwangu, Kwa sh 500 tu nimepata sh 1300,000.
 
Ulaya hasa marekani watu walishaanza kubet kitambo matajiri hasa kama akina donking hao huwambii kitu...sio kwamba hawawezi pata ajira,no ni kwasababu wanapenda miteremko.
 
Screenshot_2017-02-06-23-10-33.png
Mwenzako sijui Nina nuksi Gani Sijawahi Kula hata siku moja wanenifilisi washenzi kweli. Throne bet mzungu anenichania Mikeka zaid ya 500.. Hali ngumu Borea virtual football kidogo option zinakuja kuliko hiz za kusubir. Gambling nyingine imenikalisha chini ni slot in machine inanipagawisha imenipiga zaid ya 400000 . Naombeni mniombee niachane na haya mambo kubet kazi.. Nimekuwa teja wa kubet Dah Ila sio kesi no retreat no surrender ipo siku tu
 
Back
Top Bottom