miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kama wanalipa kodi hamuna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ikiwezekana, Na mkepia ikiwezekana, ili familia iwe na mtaj, wanasema kizuri ule na uwapendao.[emoji12] [emoji12]ha ha ha ha ha ha ha ha ha usirudi hapa lol
Ujumbe mzuri sana.. Lakini JF wana thread yao kule tena imewekwa pin kabisa ....
Wanawadumaza akili vijana wetu, inabidi serikali iangalie kwa jicho la tatu hii cancer maana ikishakomaa itakuwa ngumu kutibu
acha kuongea ujinga ww watu tunalisha familia kwa kutegemea betting ...mm nilianza na mtaji wa laki moja kwa mwez naingiza laki tisa ninakuwa nacheza kwa kuwapa watu 1X yaan wa nyumban ashinde au adraw au X2 yaan wa ugenini aashinde au draw sasa kwasiku unakuta unaingiza 50000 maisha yanaenda
Kubet ni ajira sema sio favourable kwako
how old are you ..?! mtu mwenye akili zake hawezi akasema kamari ni ajira
Wengi hatuelewi maana ya neno ajira, kwa uelewa wangu mdogo ajira ni shughuli yoyote inayokuingizia kipato halali.Mimi nina miaka 39 kama kubet sio ajira wafunge izo cassino lofa wewe
Watu wanalipa kodi unasema sio ajira
Sema wanaobet wengi wao hawana elimu kuhusu ili swala Trump mwenyewe huwa anabet, ile ni biashara kama zilivyo zingine maana zipo kihalali
Wengi hatuelewi maana ya neno ajira, kwa uelewa wangu mdogo ajira ni shughuli yoyote inayokuingizia kipato halali.
Kwa maana hiyo kubet ni ajira ila sio rasmi na inaingiza kipato inalipa kodi sasa mtu anayesemaje kubet sio ajira?
Alafu haina madhara kama mnavyotaka kutuaminisha, huu mchezo unahusika na soka kama hujui lolote kuhusu soka nakushauri usibet utafeli na sio kubet hata biashara yoyote iwe kilimo au ufugaji kama hujui lolote utafeli pia
Watu tunampiga muhindi daily ukisema niache kubet hata sikuelewi
Yap man!....kitu Roulete pesa nje nje ( niko addicted si kitoto)Huwa unachezaga nini haswa.? Roulete ama.?
Hawa jamaa wanatuchukilia poa sana hawa.sasa ninyi vijana mkae mkielewa kwamba sisi tunaobet na sisi tunakazi za kufanya mimi mwenyewe nipo kwenye shirika nimeajiliwa ninabet kama mazoea na ninabet kama napenda mpira sasa ninavyobet ninakuwa naongezea hela kama mshahara na katika kubet wapo waliokosa ajira wanabet na wapo tupo kwenye ajira tunabet katika kubet tunakaul mbiu kama zifuatazo
usibetie hela ya mkopo
betia hela ambayo hata ukiliwa hautaumia au kukuuma
bet kama fani usibet kama ajira yaan beti kama mazoeaa
na sisi wengne tunabet ila sio walev wa kunywa pombe hela zetu hatupotez kwenye ulevi bali kila siku unabet hata 4000
Alafu hayo sijui huwa yanachezwaje, nikipata mtu wa kunifundisha nitashukuru sanaKuna yale mokochokocho mengine ya kudumbukiza token yaliyofungwa na wahindi au wachina kwenye vibanda na bar ndo balaa kabsa...
Bahati nasibu hazijaanza leo ila hii ya soka imewavuta watu wengi sababu ya :
Haina longolongo sio kama ile sijui gurudumu lizungushwe ndio mshindi atangazwe. Hii matokeo ya mechi ndio yanakuhakikishia kuwa umeshinda au la.
2) uwezekano wa kushinda unategemea kujua na kufuatilia kwako mpira. Kamari hii mtu kama Dr Ricky Abdallah (mchambuzi wa soka) atapiga hela tu sababu ana uwezo mkubwa wa kujua mechi fulani itatoa matokeo fulani. Tofauti na kusubiri sijui gurudumu lizungushwe ndio mshindi atangazwe.
3)kuna mechi zinatabirika. Kuna baadhi ya mechi unakuwa na asilimia kubwa ya kujua matokeo ila tu mechi za namna hiyo inabidi uweke pesa nyingi. Nikupe mfano rahisi kama yanga icheze na majimaji au Azam na ndanda.
Sasa hivi naenda kubett draw ya UEFA champions league itakayofanyika kesho. Ubashiri wangu ni huu
Bayern atapewa A. madrid
R. Madrid vs Man city
Barca vs PSG
Wofsburd vs Benifica