Vijana wa Dar wananiita mshua

Safi mkuu - Rasi means mtu peace.

Labda kwa ofc wewe ndiyo Last Born kwa age

Wife - Yes huita waume zao Baba

Kanisani - Ni Title hasa kidogo ukiwa na mchele kidogo.
ofisini kwasababu nina mambo ya kitoto ila nie ni mkubwa hata kwa wanao niita madogo na hasa wadada ndio wana huo mchezo wa kuniita dogo ๐Ÿ˜…
 

Hahaha
 
Siku hizi raha sana, ni wewe tu kuamua kufyatua huku umetulia! Gharama zake ndio uzae huna maelekezo utaita maji mma! Sikuhizi wanafutwa tu hakuna mambo ya kushika nnya, mimi naanzaje sasa kuchelewa mzee๐Ÿ˜Ž
Nimegundua shida sio wewe.
Huo mtaa inabidi tukuhamishe..
Gharama za bed rest maankoli tupo tutaclear si anko banah.๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰
 
Huku Kenya mimi naitwa 'Msee'. Je, Niko kwenye kundi gani?
 
Mzee ni kama kwetu tunavyotumia ,ni kama Oyaaa Mzee Baba niaje?

Vipi Mzee niaje?

Mzee Vipi?

Nipo Mzee.
Basi nimefurahi kusikia hivyo. Juzi nilikuwa nakula kwenye mgahawa mmoja, nikasikia kijana wa kikenya akiwa na wenzake, huku akinipoint kwa kidole, akisema, "yule msee ako juu, kumgusa ni ile kitu haifai juu ana muguu ya kuku, so ni ngori mazee...", sikumwelewa na niliogopa sana.
 
Karibu kwenye uzee. Mimi nilianza kuitwa hivyo karibu miaka mitano iliopita ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Usiogope ni kamawaida sana au haujawahi kusikia ile Vipi Babu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ