Vijana wa enzi hizo hawakujua nywele wala kuvaa hereni lakini walipendeza

Hakuna kitu nisichokioenda kama kasumba yakusifu ukale...mziki ulikuwa zamani bana, elimu zamani bana, mapenzi zamani bana, sijui mavazi zamani sio sasa, Degree zilikuwa zamani, wanawake walikuwa zamani sio sasa, DSM ilikuwa zamani, Sijui nini ilikuwa enzi zetu nk

Hii kasumba siipendi sijui kwanini.
 
Ukipingana na ukweli juu yako.

Hakuna Kasumba hapo ni facts
 
Hakuna kitu nisichokioenda kama kasumba yakusifu ukale...mziki ulikuwa zamani bana, elimu zamani bana, mapenzi zamani bana, sijui mavazi zamani sio sasa, Degree zilikuwa zamani, wanawake walikuwa zamani sio sasa, DSM ilikuwa zamani, Sijui nini ilikuwa enzi zetu nk

Hii kasumba siipendi sijui kwanini.
Walioishi huko kale ndio wajua walichokipata ambacho wanakikosa now
 
Back
Top Bottom