Vijana wa Gen-Z wanatuzidi sana sisi wazee Kwenye Ujasiri, Wanaulizia Nchimbi yuko wapi

Yuko wapi huyu national agenda na Rais wetu tuliyeanza kumzoea πŸ˜€

 
ok.πŸ’
 
Sasa mbona hiyo barua inaswma umoja wa wazee?
 
Kama ni kweli basi chai hii ni yamoto sanaa na inauguza sanaa watu midomo maana sura zimekunyamana sana bado kidogo wataangusha vikombe chini
 
Reactions: Lax
Kama ni kweli basi chai hii ni yamoto sanaa na inauguza sanaa watu midomo maana sura zimekunyamana sana bado kidogo wataangusha vikombe chini
Barua jnasema mikoa ya "tanganyika" 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…