Vijana wa JKT wadaiwa kuua

Vijana wa JKT wadaiwa kuua

Simu ya 25000 unauwa mtu!!??
wakati hiyo amount ni hela ya supu ya kuku maziwa...ya kuamkia asubuhi baada ya tungi
Simu ya 25000 unakwiba!

Iko hivii? Kwenye kesi yoyote hautakiwi kuwa biased kwa upande ulioleta malalamiko kabla ya kusikiliza upande wa pili.

Tungelisikiliza kesi hii nikwambie, wote tulioegemea upande mmoja wa comment, tungelitofautiana hadi ungelishangaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo la UZALENDO na UKAKAMAVU limekolea. Bila shaka walikuwa kwenye practical ya kazi za wasiojulikana zile.
 
vengu,
Bado sijaelewa vizuri inamaana Polisi waliwapa mtuhumiwa wao kwamba "Enendeni mkamtendee mnavyoona yapasa" au?
polisi ndivo wanavyofany yan huwa wanawaogop wanajeshi km mwanajesh kakushtaki huwa wanamsikiliza yy anatakaje kwa mtuhumiwa yani hawatasikiliz pande zote mbil bali watamsikiliz mwanajesh tu
wanakosea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani watuhumiwa walikuwa kituoni!!!

Wakaja vijana wa JKT!!??

Je walijuaje watuhumiwa ni hao?

Waliingia kituoni kwa lengo gani?

Je kituoni watu wanaingia bila utaratibu?

Kituoni hapakuwa na Polisi wengine kwa ajili ya kuokoa maisha ya watuhumiwa?

Raia walipata nguvu wapi za kwenda kuwatetea raia wenzao na jeshi la polisi likawa halina?

Wanawashikilia wa nini wakati walikuwa wanawapiga watuhumiwa wakiwa wanawaangalia?

Police again[emoji26][emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
polisi ndivo wanavyofany yan huwa wanawaogop wanajeshi km mwanajesh kakushtaki huwa wanamsikiliza yy anatakaje kwa mtuhumiwa yani hawatasikiliz pande zote mbil bali watamsikiliz mwanajesh tu
wanakosea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi hawaogopi wanajeshi ila kinachofanyika huwa wanafanyiana fair,yani kubebana kisa wote ni walinzi wa amani.Najua ushashuhudia Mara nyingi polisi wakikamata wanajeshi,hapo uoga upo wapi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujawahi kutana na kuruti ww.... Nadhani hata hao askari wanaujua mziki ambao ungewakuta kama wangemkingia kifua mtuhumiwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi unafkiri kuruti anaweza kupiga kila mtu..walah labda wawe sita kuendelea bila ivo wanarudi mikono imevunjika..na wengine wanawaachaga kwa sababu ya heshima ya gwanda..ila uhalisia uku mtaani kuna watu ni zaidi hao kuruti
 
Hujawahi kutana na kuruti ww.... Nadhani hata hao askari wanaujua mziki ambao ungewakuta kama wangemkingia kifua mtuhumiwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbisha kipindi niko kozi eti kuna afande alikuwa anasemaga kuliko ukutane na kuruti bora ukutane na kundi la fisi au akikuta mmesombwa na maji kuruti na simba eti ataokoa sìmba aache kuruti[emoji2][emoji2]
 
Wanajeshi primitive sana. Badala ya kulinda mipaka yetu. Wanapigana na raia. Abomination
Ndo wanajeshi wetu Hao, misifa wanataka waonekane wameiva kutumia Miili ya raia, na kesi kama hizi wanazifanya sana Mara kwa mara, Kenya wanasumbuliwa na Alshabab uko, waombe field wakawapigie zoezi huko na sie tuone tuna wajeshi kweli sio kwa raia asie na mafunzo yeyote.
 
mwanajesh had anakamatwa ujue mamb n makubw na pia ujue iahafik ngaz kubw kias kwamb lazm awe atii amri
ila mm upande wang nlishaona haikuw sawa kabisa
Polisi hawaogopi wanajeshi ila kinachofanyika huwa wanafanyiana fair,yani kubebana kisa wote ni walinzi wa amani.Najua ushashuhudia Mara nyingi polisi wakikamata wanajeshi,hapo uoga upo wapi!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliwezaje kuingia kituo cha polisi na kuanza kumshambulia mtuhumiwa??
 
Ukiwa kuruti bwanaa, unajiona kama Field marshal.
 
Back
Top Bottom