Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Nendeni mkalime mmekuwa keroTukale wapi sasa 🤣...View attachment 2944331Mtupe ajira!
Mashamba sii mmeyageuza ranch...Nendeni mkalime mmekuwa kero
Magufuli huyo sio sisiMashamba sii mmeyageuza ranch...
Kero Sana... Vest za kuvalia ndani ya shati kwa bei ya jumla huwa ni 8000 mpaka 10000 kwa pic moja na kuendelea... Lakini hawa mawinga ukimkuta kwenye duka la Mtu anakomaa 13000 mpaka 15000 ili apate pesa ya kwenda kununua Malaya jioni.....Wanachosha.
Mawinga wa lumumba na mchikichini ni balaa wa kkoo wana afadhali,halafu kuna wale wa stand ya magufuli sijui tuwaitaje aisee!Ulienda na gari lako Lumumba nini?
Sio bongo tu hata nchi zilizoendelea kuna maeneo ukienda mawinga wapo acha kusumbua vijana .Vijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua... Ni muda sasa wa kwenda kulima kumbuka machimbo ya bidhaa yameongezeka Kuna chimbo la katoro Geita, muda si mrefu wafanyabiashara tutahamia huko..
Kilimo hakitaki wachovuVijana mnachosha sasa na mmekuwa kero, mnakomaa na maduka ya watu na akija mteja mnamparamia kana kwamba wateja wengine hawajui kilichomleta kariakoo au hafahamu bei ya kile alichokuja kukinunua... Ni muda sasa wa kwenda kulima kumbuka machimbo ya bidhaa yameongezeka Kuna chimbo la katoro Geita, muda si mrefu wafanyabiashara tutahamia huko..
Winga ndo wale wanaouza simu?
madalali, wanasimamaga pembeni na fremu za madukaWinga ndo wale wanaouza simu?
Mkiwa wahuni, vibaka mtaozea jeraSema mkuu unatukosea sana, tutaishije hapa mjini... unataka tuwe wahuni vibaka?