GE2025 Vijana wa Kipemba: Sisi hatuandamani Tanzania sio Nepal

GE2025 Vijana wa Kipemba: Sisi hatuandamani Tanzania sio Nepal

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Lazima nicheke kwanza 🤣! Vijana wa Kipemba wenyewe wamesema hawana haja ya kuandamana, kwani hawajui hata sababu ya kufanya maandamano hayo — ā€œeti mnataka tuandamane ili iweje sasa?ā€ šŸ˜
==================
Sisi hatuandamani Tanzania sio Nepal, Makuli mapya ya ghorofa yamejengwa na Mabarabara mapya yamejengwaā€ -vijana wakipemba
 
Ni haki yao kuzungumza hivyo!
Waandamanaji wanahaki yao pia
Demokrasia ni kuheshimu mawazo ya kila pande japo wafuasi wengi wa CDM na CCM kwao hii hawaielewi hata hapa watakuja kutukanana.
 
Demokrasia ni kuheshimu mawazo ya kila pande japo wafuasi wengi wa CDM na CCM kwao hii hawaielewi hata hapa watakuja kutukanana.
Demokrasia ni ngumu. Watu hawataki kusikia mawazo tofauti
 
Demokrasia ni ngumu. Watu hawataki kusikia mawazo tofauti
Wakati huo huo wanaimba nyimbo za kutaka demokrasia.

Wakati mwingine huwa najiuliza hawa demokrasia wanaijua kweli au wanaimbishwa tu nyimbo wasizozijua ?
 
Wakati huo huo wanaimba nyimbo za kutaka demokrasia.

Wakati mwingine huwa najiuliza hawa demokrasia wanaijua kweli au wanaimbishwa tu nyimbo wasizozijua ?
Wao waache waseme, watukane, wapige, wafurahie vifo vya wengine, watweze utu wa wengine ila wao ukiwagusa kidogo tu wanalipuka.
 
Watoto wa nje ya ndoa hebu wakae kimya, huu mjadala ni wa Tanganyika sio wa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom