Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Demokrasia ni kuheshimu mawazo ya kila pande japo wafuasi wengi wa CDM na CCM kwao hii hawaielewi hata hapa watakuja kutukanana.Ni haki yao kuzungumza hivyo!
Waandamanaji wanahaki yao pia
Demokrasia ni ngumu. Watu hawataki kusikia mawazo tofautiDemokrasia ni kuheshimu mawazo ya kila pande japo wafuasi wengi wa CDM na CCM kwao hii hawaielewi hata hapa watakuja kutukanana.
Wakati huo huo wanaimba nyimbo za kutaka demokrasia.Demokrasia ni ngumu. Watu hawataki kusikia mawazo tofauti
Wao waache waseme, watukane, wapige, wafurahie vifo vya wengine, watweze utu wa wengine ila wao ukiwagusa kidogo tu wanalipuka.Wakati huo huo wanaimba nyimbo za kutaka demokrasia.
Wakati mwingine huwa najiuliza hawa demokrasia wanaijua kweli au wanaimbishwa tu nyimbo wasizozijua ?