Vijana wa kisasa

Vijana wa kisasa

Regamarushu

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
7
Reaction score
1
vijana wakisasa, ni kijana mwenye kujituma na kuwaza mbali zaidi, social media zinasaidia katika kukuza network nakupata taarifa mpya, sio vinginevyo kama unashinda facebook kuangalia profile pictures za watu na stutus za watu, inakula kwako, napenda kuwapongeza wadau wote wa jamii forum kwa kushare na kuelimishana katika maswala mbalimbali, na sikitika kwanini sikujiunga tangu mwanzo kwani kuna vitu nilikuwa natamani kufanya kama kilimo na biashara nyingi, ideas ninazo lakini nikifikiri jinsi yakuanza unashindwa na nchi yetu hatuna informations za kutosha kwenye mtandao, sikumbuki majina ya wadau ila wadau waliokuwa wanaelimisha kuhusu kilimo, cha alizeti, mpunga, matikiti maji na matunda, nimejifunza mengi sana,
 
Mkuu kama uko serious na JF kuna mambo mengi sana unaweza jifunza hapa!nashukuru nawe umeliona ilo,cha msingi ni kuto ogopa kuthubutu!mawazo mazuri unayoyapata hapa na unaona una uwezo na umeyapenda kuyafanyia kazi,unatakiwa uya implement mara moja!hakuna haja ya kuogopa na kufa maskini kwa nchi yenye fursa kama Tanzania!
 
vijana wakisasa, ni kijana mwenye kujituma na kuwaza mbali zaidi, social media zinasaidia katika kukuza network nakupata taarifa mpya, sio vinginevyo kama unashinda facebook kuangalia profile pictures za watu na stutus za watu, inakula kwako, napenda kuwapongeza wadau wote wa jamii forum kwa kushare na kuelimishana katika maswala mbalimbali, na sikitika kwanini sikujiunga tangu mwanzo kwani kuna vitu nilikuwa natamani kufanya kama kilimo na biashara nyingi, ideas ninazo lakini nikifikiri jinsi yakuanza unashindwa na nchi yetu hatuna informations za kutosha kwenye mtandao, sikumbuki majina ya wadau ila wadau waliokuwa wanaelimisha kuhusu kilimo, cha alizeti, mpunga, matikiti maji na matunda, nimejifunza mengi sana,

well said mkuu!ikipita siku sijachungulia jf?ntaumwa!ukwel humu kuna mambo mengi ya kujifunza!ila la muhimu ni tujenge tabia ya kurudisha feedback ili kuwapa moyo wale walioanza kushare na sisi!
 
vijana wakisasa, ni kijana mwenye kujituma na kuwaza mbali zaidi, social media zinasaidia katika kukuza network nakupata taarifa mpya, sio vinginevyo kama unashinda facebook kuangalia profile pictures za watu na stutus za watu, inakula kwako, napenda kuwapongeza wadau wote wa jamii forum kwa kushare na kuelimishana katika maswala mbalimbali, na sikitika kwanini sikujiunga tangu mwanzo kwani kuna vitu nilikuwa natamani kufanya kama kilimo na biashara nyingi, ideas ninazo lakini nikifikiri jinsi yakuanza unashindwa na nchi yetu hatuna informations za kutosha kwenye mtandao, sikumbuki majina ya wadau ila wadau waliokuwa wanaelimisha kuhusu kilimo, cha alizeti, mpunga, matikiti maji na matunda, nimejifunza mengi sana,

regamurushu binafsi nawashukuru sana wadau kwa sapoti zao hapa,kuna jamaa anaitwa mtambo KITAMBO alinitengenezea LOGO ya NGO kwakweli bure,na mimi sikua na pesa,huwa nawahimiza sana watu waitumie hii mitandao kwa tija
 
Last edited by a moderator:

Malila njo upokee sifa zako hukuu.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unataka watu waning`oe kucha, sifa gani hizo za mimi kuja kupokea huku? Mbona sijachangia cho chote kwenye uzi huu, au umechanganya majina?

Hhhhhaaa!!! Mnapewa sifa hapa na mi nimeona zinakuhusu. Lol. Kama vipi tutakuwa tunakukubali kimya kimya basi.
 
Back
Top Bottom