Regamarushu
Member
- Jul 4, 2013
- 7
- 1
vijana wakisasa, ni kijana mwenye kujituma na kuwaza mbali zaidi, social media zinasaidia katika kukuza network nakupata taarifa mpya, sio vinginevyo kama unashinda facebook kuangalia profile pictures za watu na stutus za watu, inakula kwako, napenda kuwapongeza wadau wote wa jamii forum kwa kushare na kuelimishana katika maswala mbalimbali, na sikitika kwanini sikujiunga tangu mwanzo kwani kuna vitu nilikuwa natamani kufanya kama kilimo na biashara nyingi, ideas ninazo lakini nikifikiri jinsi yakuanza unashindwa na nchi yetu hatuna informations za kutosha kwenye mtandao, sikumbuki majina ya wadau ila wadau waliokuwa wanaelimisha kuhusu kilimo, cha alizeti, mpunga, matikiti maji na matunda, nimejifunza mengi sana,