Mwanamke anayenunuliwa katika kichaka cha mahari ni kuhalalisha utumwa na unyanyasaji wa mwanamke kupitia biashara ya kumuuza mwanamke kwa mwanaume (biashara ya utumwa)
Wazungu wakija kuoa huku afrika na kukutana na hiki kitu huwa wanahamaki na kusema wazi kuwa mimi simnunui huyu mwanamke nataka kumuoa (picha inayokuja ni biashara, mnaanza kunadi kama nguo ya mtumba mpaka utakapopatikana muafaka)
Ni mila inayopaswa kupigwa vita kwa nguvu zote, jamii nyingi Zina nufaika na hii biashara kwa kukatisha ndoto za mabinti wadogo wa miaka 12, 13 nk ni ushetani wa kiwango kikubwa hasa kwa jamii za kifugaji kama wamasai, wasukuma, mang'ati nk