JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
- Thread starter
-
- #21
Kazi ipoWamepigika sana hao wanawake/wasichana kwa HONGO TENDO.. yaani kwa rushwa ya ngono na sisi sisi wanaume tuliokuwaga madarakani na vijisecta fulani kwa kudai tendo ili tuwape kazi wameshika kijiti sasa ..waacheni
Anayejua kuhusu ukweli wa Mr. Kuku farmersVijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k.
Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji wanapungua kwa sababu ya uoga wa maisha ya majukumu ya ndoa na kuoa binti mwenye ajira aliyesoma.
USHAURI:
Vijana hakuna jinsi, tafuteni system nzuri ya kuingia mashambani. Serikali haiwezi kutoa ajira kwa wingi uliopo halafu binti wa kike anapewa kipaumbele kwenye ajira chache zilizopo. Huku mtaani hali ni mbaya. Vijana wengi ninaokutana nao wanahitaji msaada na si rahisi kuwasaidia wote.
sad😔Anayejua kuhusu ukweli wa Mr. Kuku farmers
Ulichokiwaza wewe ata Mimi miaka miwili ilopita nlikiwaza ,,ila huu ni mpango maalumu uliosukwa muda mrefu Wa kuondoa mfumo dume ili huko mbeleni mwanamme ili aishi lazima apewe masharti Fulani Na wengi wao wataangukia ushoga ili wapate uafadhali Wa kujikimuVijana tegemezi wa kiume ambao ni graduates wanaongezeka sababu kazi zao zimeshikwa na dada zao wanaobebwa na mfumo wa Huyu ni Mwanamke, tumpe nafasi mwanamke, Haki sawa, Usishindane na mwanamke n.k.
Mabinti graduate wanapata kazi mapema kuliko vijana wa kiume, matokeo yake hata waoaji wanapungua kwa sababu ya uoga wa maisha ya majukumu ya ndoa na kuoa binti mwenye ajira aliyesoma.
USHAURI:
Vijana hakuna jinsi, tafuteni system nzuri ya kuingia mashambani. Serikali haiwezi kutoa ajira kwa wingi uliopo halafu binti wa kike anapewa kipaumbele kwenye ajira chache zilizopo. Huku mtaani hali ni mbaya. Vijana wengi ninaokutana nao wanahitaji msaada na si rahisi kuwasaidia wote.
Vijana limekaa kirika zaidi..vijana wakiume vijana wakike."vijana wa kiume!" ina maana huwa pia kuna "vijana wa kike"? mimi sijawahi kuwasikia...au ndio mabinti...basi mimi huwa nafikiri vijana ni mascuiline term.