Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
Msaada tafadhali kuhusu mazingira yaoWengi wana nidhamu ya uwoga kutokana na mazingira yao , hao mjini utawajua tu walivyo wanaongozwa kwa hofu sana, ila wakikutana wenyewe wanajiona wajanja kweli
Pa kyimbila[emoji124] [emoji124] [emoji124]Gwa kughu uju??
Acha uongoWengi wana nidhamu ya uwoga kutokana na mazingira yao , hao mjini utawajua tu walivyo wanaongozwa kwa hofu sana, ila wakikutana wenyewe wanajiona wajanja kweli
Ukisha pajua dar unajiona mjanjaaaaa ila hujui kuwa siku izi hata dar unaweza ukapelekwa dareda napo wanapaita dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wengi wana nidhamu ya uwoga kutokana na mazingira yao , hao mjini utawajua tu walivyo wanaongozwa kwa hofu sana, ila wakikutana wenyewe wanajiona wajanja kweli
Akasahau kukwambia uwaamini wanaotoka mkoani kwaoNilipokua naenda A-level baba yangu aliniambia hata siku moja usiwaamini wanaotoka mbeya sikumuelewa leo nimepata kuwaelewa vizuri na nimekubali alichoniambia
Wy?Nilipokua naenda A-level baba yangu aliniambia hata siku moja usiwaamini wanaotoka mbeya sikumuelewa leo nimepata kuwaelewa vizuri na nimekubali alichoniambia
Akwesile ingambo ujoPa kyimbila[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Chuki binafsi kama mchawi, walikufanyia kitu gani watu wa mbeya?Nilipokua naenda A-level baba yangu aliniambia hata siku moja usiwaamini wanaotoka mbeya sikumuelewa leo nimepata kuwaelewa vizuri na nimekubali alichoniambia
Nimezaliwa mjini, mshkaj mzaramo mwarabu sasa kama umetoka mwakayleli hukoUkisha pajua dar unajiona mjanjaaaaa ila hujui kuwa siku izi hata dar unaweza ukapelekwa dareda napo wanapaita dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ni mji wa kilimo in general hata pale mbeya mjini ni wakulima wengi wanaouza mazao, usishangae kwa nini jiji kisa wingi wa watu ila kiuhalisia ni mkoa wa porini sanaMsaada tafadhali kuhusu mazingira yao
Sema ukweli wako watu wa kyela sijui mnauza mchele tuSio kweli
Mtumwa wa nafsi yake tuAmekubali kuwa mtumwa wa kabila gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akwesile ingambo ujo