Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Wengi wana nidhamu ya uwoga kutokana na mazingira yao , hao mjini utawajua tu walivyo wanaongozwa kwa hofu sana, ila wakikutana wenyewe wanajiona wajanja kweli
Ukisha pajua dar unajiona mjanjaaaaa ila hujui kuwa siku izi hata dar unaweza ukapelekwa dareda napo wanapaita dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
FB_IMG_1498407423265.jpg
gentleman
 
Ukisha pajua dar unajiona mjanjaaaaa ila hujui kuwa siku izi hata dar unaweza ukapelekwa dareda napo wanapaita dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimezaliwa mjini, mshkaj mzaramo mwarabu sasa kama umetoka mwakayleli huko
Huwez kupajua mjini utauzwa wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli wapole ila wachawi/washirikina kinoma (makazini na wanawake kwe mapenzi)
naomba niishie hapa tuu
 
Back
Top Bottom