Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
He he hee. Mkuu, hao ni wa Arusha. Kule ambako kila mtu ni billionaire....
Natania jamani...sio kweli.
 
Mbeya ina kila kitu
1.Airports mbili
2.Dryport
3.Ya tatu kwa mapato Tz
4.kilimo
5.Gentlemen
6.Vipanga wengi wako mbeya
7.univeristies eg Must
8. Multitribe region
9.Country-boundary region
10.Ziwa rukwa
11. Ina silent bilioneaz
12. etc


Wanamadhaifu yao kama walivyo wengine
Ila sifa kedekede

Wako juu kias flani...
 
Wachaga mmemshindwa magufuli sasa mnahamia Mbeya wamewafanya nn....km wachawi mbona biashara za wachaga na wakinga ndo kubwa?......Hakuna watz wachawi km wachaga wanamatambiko na mazezeta usisema......umewahi kusikia mnyaki anamajini au mazezeta ndani au ameenda kufanya tambiko December au pasaka?
Usukumani ndo nasikia kuna kijiji cha wachawi kinaitwa gabushi
 
Mbeya ina kila kitu
1.Airports mbili
2.Dryport
3.Ya tatu kwa mapato Tz
4.kilimo
5.Gentlemen
6.Vipanga wengi wako mbeya
7.univeristies eg Must
8. Multitribe region
9.Country-boundary region
10.Ziwa rukwa
11. Ina silent bilioneaz
12. etc


Wanamadhaifu yao kama walivyo wengine
Ila sifa kedekede

Wako juu kias flani...
Vipi hali ya hewa mkuu? Ni baridi sana kama iringa
 
Back
Top Bottom