Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Vijana wa kutoka Mbeya ni wastaarabu na wapole; mfano ni RayVanny

Mbeya imegawanyika sikuhizi kikanda, , , Huenda unazungumzia Songwe ndiko wanako patikana vijana watanashati na wasitaarabu wasio penda bugdha!
Wana feel inferior sana wakikutana na jamii nyingne ndo maana wanaonekana wapole
 
Sio kweli, acha chuki binafsi.
Tanzania hii hamna mkoa usio na uchawi au kwenu mkoa gani?
nmeishi mbeya nmeshuhudia mwenyewe vitimbi vyao
ingawa uchawi upo kila seem ila mbea wamezidi sio vijana wala wazee af mjini sasa bora ata ingekua huko vijijini
 
Kwa upande wa vijana wa kiume wengi ni wapole ila upande wa wanawake haswa wa Kinyakyusa wengi wao ni watu wa kuchonga sanaaa na wakoloni mno.
 
Nasikia mnataka kuibadili jina la hizo tuzo ziwe zinaitwa MwakaBET
 
Ongea ukweli tu mkuu kwa nini mbeya inaongoza kuwa na makanisa mengi na bado matukio ya kichawi yameshamiri
Hilo halina ubishi ni namna ambavyo pia watoa habari wapo kila kona , , so hulahisisha kujulikana kwa matukio kwa haraka na kila tukio, , tofauti na mikoa mingine mambo yanafichwa sana then tunafikiri ni salama
 
Ni kweli mkuu, lakini hivi karibuni vijana wa Mbeya wamekuwa wanaiga tabia za vijana wa Arusha
Du! Mkuu hivi siku hizi unaweza kujivunia manzese kisa wame banana!?

Vip sasa watu wa Dar wanaenda kuhamia Kibaha?
 
Ni kweli wapole ila wachawi/washirikina kinoma (makazini na wanawake kwe mapenzi)
naomba niishie hapa tuu

Hapana mkuu hiyo sifa ya uchawi na ukatili imebaki mkoa mpya wa Songwe hao ndio walikuwa wanaharibu sifa za mbeya,kwa kawaida wanyakyusa hawana tabia za ukatili sijui kuchuna ngozi hao ni wanyiha wa Mbozi ambayo kwasasa ni makao makuu ya mkoa mpya wa songwe.

Mwe banyafyale mulipoooo, abhankisu kinunu,bhasitalimo, bhifyusi, abhamahala , twe bhyimbi, Kyala atufigwegeeeeee

Mwe
 
Mbeya ina kila kitu
1.Airports mbili
2.Dryport
3.Ya tatu kwa mapato Tz
4.kilimo
5.Gentlemen
6.Vipanga wengi wako mbeya
7.univeristies eg Must
8. Multitribe region
9.Country-boundary region
10.Ziwa rukwa
11. Ina silent bilioneaz
12. etc


Wanamadhaifu yao kama walivyo wengine
Ila sifa kedekede

Wako juu kias flani...
Muafaka
 
Back
Top Bottom