Tehe tehe teheHata Mwakyembe once was a young man from Mbeya
Matanga gha nyokoNi mji wa kilimo in general hata pale mbeya mjini ni wakulima wengi wanaouza mazao, usishangae kwa nini jiji kisa wingi wa watu ila kiuhalisia ni mkoa wa porini sana
Mdomo gundi ko akipata tu anaoa harakaHalafu ni waoaji kina dada karibuni mbeya city
Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Ndio hao hao.Ndio hawa kina Mwa......Mwa.....
Nimezaliwa Dar slaam na naishi Dar slaamTaja hayo majiji na pia uniambie wewe kwenu ni jiji gani?
Wewe utakuwa shoga sio bure, maana haiwezekani mwanaume ukawa na akili za kichoko namna hiyoMdomo gundi ko akipata tu anaoa haraka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka nimepaliwa ubwabwaMatanga gha nyoko
Povu hilo mkuu punguzen imani za kishirikinaMchawi anamjua mchawi mwenzake. Kwakuwa wanawanga wote. Kwahiyo wewe ni mchawi au??
Vipi hali ya hewa mkuu? Ni baridi sana kama iringaMbeya ina kila kitu
1.Airports mbili
2.Dryport
3.Ya tatu kwa mapato Tz
4.kilimo
5.Gentlemen
6.Vipanga wengi wako mbeya
7.univeristies eg Must
8. Multitribe region
9.Country-boundary region
10.Ziwa rukwa
11. Ina silent bilioneaz
12. etc
Wanamadhaifu yao kama walivyo wengine
Ila sifa kedekede
Wako juu kias flani...
Kwamujibu wako.Maisha tu yamemnyoosha na kumfunza kuishi na watu ila kwa kawaida vijana wa mbeya ni bange, majungu, vurugu na mihemko kwa kwenda mbele
Wazee wa kushukuru kupatwa kwa jua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio hawa kina Mwa......Mwa.....
Mchawi anamjua mwenzake. Nasikia huwa mna wanga wotePovu hilo mkuu punguzen imani za kishirikina