Brojust
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 349
- 1,024
Salaam wakuu:
Kama ushamaliza chuo na bado hujaajiriwa kwenye taasisi yoyote ya serikali au private Tunajaribu kusaidiana na kukumbushana, japo hiki kitu vijana wengi wanafanya.
Acha kubet na kucheza kamali, na kunywa visungura kutoa press za kitaa.
Hiyo hela ya kuber fanya hv. Fungua kampuni au jina tu la biashara (fuata compliance zote) kwanzia Certicate of incorporation/ Certificate of registration, TIN, Tax clearance pamoja na leseni. Kajiunge kwenye platform ya kuomba tender serikalini au taasisi za serikali.
Then, wakati unasubiri chukua tena compliance zako tafuta kampuni zinazoeleweka, anza kuomba tender ndogondogo hata kama utapata tender ambayo faida yake ni laki mbili tu, wewe komaa tu. Tafuta experience kwanza, then marafiki zako wawe watu wa procurement na wahasibu kwenye hizo kampuni.
Ukifanya hivi mwaka mmoja tu, tayari utakuwa ushajua principles zote za kufanya bidding.
Nimeamdika kwa kifupi sana. Lakini nia yangu ni kwamba wakati unasubiri kuajiriwa na kutumwa basi wewe fikiria kuwa supplier.
Ukiamini kwenye ndoto zako, ukasali, ukatoa sadaka kwa imani kwenye dhehebu lako. Hautasota sana kama kukaa nyumbani na kusubiria ajira.
Kama upo interested njoo PM Nitakujsajilia kampuni au jina la biashara na kukupa utaratibu wote.
Nawasilisha